Recent content by IBARAYA18

  1. I

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Paragraph 8: Mtatiro angekuwa rais wa nchi hata kwa mwaka mmoja tu, tusingekuwa hapa. Mtatiro ninayemfahamu mimi asingemuua JIRANI yangu Danny, kijana mbichi kabisa. Very innocent! Mtatiro huyu asingempiga Risasi Tundu Lissu-Julius is very humble. Kamwe asingeweza kumshambulia mtu anayekuonesha...
  2. I

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Paragraph 7: Haki, una akili kweli wewe? Ni kweli kuwa hujui Mtatiro ndiye muajiri wa hao Polisi? Ni kweli hujui kuwa kazi kuu ya hao polisi ni kumlinda Mtatiro na Mali zake? Hivi kuna muajiriwa aliye juu ya muajiri? Kuna muajiri ambaye ni "ndiyo mzee", hana mamlaka ya kuhoji utendaji wa...
  3. I

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Kwani aliyeagiza Uhamiaji kuwa Mange atiwe nguvuni popote atakapoonekana katika mipaka ya nchi alikuwa ni Baba wa Taifa? Unakumbuka kauli za Simon Siro? Na yule aliyepeleka malalamiko Instagram HQ alikuwa ni Nabii Tito? Mange siyo anawaendesha, yeye anawaburuza- brutally dragged.
  4. I

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Paragraph 6: Julius hakujipa cheo alichonacho, alichaguliwa na mkutano halali wa CUF. Siyo anaota, ni kweli Mange anawaendesha. Na atawaendesha kwelikweli. Kwani aliyewaagiza Uhamiaji wamtie nguvuni Mange akionekana kwenue mipaka
  5. I

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Paragraph 5: Umetafsiri vizuri sana. Ebu sasa, tuweke mezani kauli za Julius na huyu mwenyekiti, kisha tutajua kuwa mwehu kamili ni nani; kauli za kulinganisha na hoja za Juliusbni hizi zifuatazo: SIKUJA IKULU KUTAFUTA WACHUMBA, HUWEZI KUWA UNAPINGA SERIKALI HALAFU UKAACHWA U-SURVIVE, NATAKA...
  6. I

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Paragraph 4: Si kweli kuwa serikali haijibu hoja za Julius; na hata wasipojibu, haimaanishi kuwa kinachosemwa ni uongo. Kimya kina majibu mengi. Kimya chenu ninyi kinamaanisha kuwa dawa imewaingia, mnatafakari kimya kimya. Amewakwapua taulo(sasa kaka, mtu akikwapuliwa taulo busara si kuchutama)...
  7. I

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Paragraph 3: Umuhimu wa hivi vyombo ni pale vinapofanya majukumu yake tu, vinapoacha kufanya majukumu yake yaliyoainishwa kwenye Katiba na kufanya majukumu ya ccm feki(naiita ccm feki kwa sababu hata kwenye katiba ya ccm huu ujangili anaoufanya )wanapoteza uhalali wa kuwepo kwao. Ni sawa tu na...
  8. I

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Hivi, kati ya mwenyekiti Mtatiro na mwenyekiti wa ccm nani ni mwehu hasa? Mwenyekiti wako ni mwehu kwelikweli. Kama angekuwa na akili asingemwambia Kagulumujuli kuwa......."najua Chadema watashinda, ila atakayemtangaza mgombea wa Upinzani, hana kazi......."; wakati nchi hii, kwa mujibu wa Katiba...
  9. I

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Jana, niliishia kujibu paragraph ya kwanza tu. Leo, naendelea.......maana wewe bila kukujibu paragraph moja moja, akili yako itaendelea kubaki huko huko kwenye makanyagio; nasi tunataka kukusaidia irudi sehemu yake ya asili, ili uweze kufikiri kama inavyokupasa kufikiri.
  10. I

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Nimeusoma mimi, kwa niaba ya Julius. Bahati mbaya sikuweza kufika mwisho. Niliposoma paragraph ya kwanza, pili na tatu; nikahitimisha kuwa kwa hali halisi iliyopo kwenye jamii kwa sasa, we we ndiyo huna akili hata nukta. Nikaishia hapo hapo. Tena, hiki ulichoandika kinathibitisha kuwa thamani...
  11. I

    Hii si Tanzania salama tena:

    Msamaria, pole mwanangu. Akili zao haziko sawa, hawa. MITHALI 28:16. Kumbuka akili ni kama injini inayoendesha ile milango 5 maarufu ya fahamu. Kama kichwani kuna shida, ngozi haiwezi kuhisi, pua haiwezi kunusa, ulimi hauwezi kuonja, masikio hayawezi kusikia kelele za wenye nchi, na wala macho...
  12. I

    Ijue Dira na Dhima mpya ya Jeshi la Polisi

    Na Tundu kumpiga risasi za kwenye mabega na mikononi lengo lenu lilikuwa nini? Mlitaka asiweze kula ugali, au? Jeshi letu la polisi limekuwa la kishenzi kabisa. Badala ya kulinda raia na mali zao, linalinda watawala na madaraka yao.
  13. I

    Ijue Dira na Dhima mpya ya Jeshi la Polisi

    Hawezi jibu hii. Na akijibu, si kwa usahihi; maana akijibu kwa usahihi, siku chache zijazo waliomtuma watamtia kwenye mfuko wa sandarusi, mtamwokota kando ya bahari.
  14. I

    Ijue Dira na Dhima mpya ya Jeshi la Polisi

    There you're, most of police wa inji hii, kichwani hamna kitu. Ndiyo maana wanaweza kutumika kama pampers. No reasoning capacity at all. Cha.
Back
Top Bottom