Recent content by Ibambasi

 1. Ibambasi

  FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

  FaizaFoxy, Ni kubalehe au kubaleghe? Au ni tafauti ya kilahaja?
 2. Ibambasi

  FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

  Heheeee....(note neno bwabwa). Speaking in tongues and codes....vijembe kweli kweli!
 3. Ibambasi

  FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

  Hahaaaaa....Ni kuwapa tu vipande safari hii!
 4. Ibambasi

  FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

  Ila wewe:D:D:D:D😂😅😂😂😁
 5. Ibambasi

  Video: Tuacheni utani, Kabendera anatia huruma

  Kamsaidie basi kwenye hiyo operation
 6. Ibambasi

  Kazi imeanza: Halima Mdee kuongea na Waandishi wa Habari

  Mahaba yako tu...chongo waita kengeza
 7. Ibambasi

  CHADEMA kuipinga Sheria ya Utakatishaji Fedha Mahakamani

  Hahaaaaa! Kamanda kunywa maji ulale
 8. Ibambasi

  Taifa lina Rais gani asiyependa kuongea na wananchi?

  Dogo kunywa maji ulale
 9. Ibambasi

  Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake

  Utawala wa sheria. Eric kesi iko mahakamani. Asubiri hatma yake humo humo. That's the rule of law brother
 10. Ibambasi

  Miguna Miguna amvaa Rais Magufuli kuhusu kukamatwa kwa Tito Magoti

  Halafu anajinasibu kuwa mwanasheria nguli!
 11. Ibambasi

  Miguna Miguna amvaa Rais Magufuli kuhusu kukamatwa kwa Tito Magoti

  Bila kusahau Tundu Lissu na ziara yake ya Ulaya na America
Top