Recent content by Ianirto

  1. I

    first year wa marian university.. tujuane

    Ningependa kufahamiana na wenzangu tutakaosoma marian
  2. I

    Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    unaizungumzia amani abeid karume ya dodoma? Nasoma hapo,, ni shule ya kawaida. Sio mbaya
  3. I

    Shule za dar

    Anayejua shule yoyote ya boyz au co ed ya serikali iliyoko dar ambayo ina comb ya EGM.. Naomba anijuze.
  4. I

    msaada kwa anaye ijua shule ya LUGOBA high school

    Lugoba ni bonge la shule.. Kimazngira,, nliwah kwnda kwnye kongamano la pasaka.. Hongera kaka
  5. I

    Kwa aliyesoma Aman Abeid ya dom, au anaeijua! Msaada tafadhal

    Nmechaguliwa huko 4m 5, nahtaj kujua iko mahala tulivu kwa kujisomea? Ni ya bweni? Na je ni ya boyz tupu au mchanganyiko? Na vip kuhusu hali ya hewa?
  6. I

    Nimerekodiwa video ya ngono bila kujijua. Nifanyeje?

    hee! Kumbe hata waumini wako wanaangaliaga filamu za ngono?? Hayo majanga sasa
  7. I

    Mwana Biologia soma hapa

    Habar wana uwanja. M napenda sana somo la biology coz linanijuza jins mwili wangu unavyofanya kazi. Napenda kujua ni nin kinachofanya mtu acheke? Inakuwaje kuwaje mpaka mtu acheke {how} Je kicheko ni kitendo cha hiari au sio? Na je ni response to stimulus au sio?. Ni hayo tu wanauwanja
  8. I

    Hali ni baadhi ya majibu yaliyosababisha vijana wetu kufeli kidato cha nne 2012.

    Watu wengine bwana. Acha kupost v2 usivyovijua. Unajidai kushadadia matokeo wakat hata kutumia booklet hujui. Tena inawezekana huijui. We nan kakwmbia kulikuwa na swal kama hilo? Umbea tu
  9. I

    Naomba usiipite post hii tafadhal.

    dah, ndg nmekupata. Cko interestd na mambo hayo
  10. I

    Naomba usiipite post hii tafadhal.

    Kama unafahamu kozi yoyote inayohusiana na masuala ya afya naomba unambie, naomba unambie pia chuo inakotolewa na qualifications zake. Ni muhimu tafadhal
  11. I

    Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

    Time will tell, tuvuten subira tujajua zp mbich na zp mbivu. Af tabia ya kuzusha habar za uongo kuhusu matokeo sio nzuri. Kama huna uhakika na unachosema bora unyamaze tu, kuliku kuzusha zusha tu
  12. I

    anahesabu mara tulizofanya mapenzi

    Nadhan hayuko interested sana na sex, hata hvyo kuwa wapenz c lazima msex mbaya zaid hamjaoana. Achen uzinzi. Kingine ni kwamba kwel kuna uwezekano ikawa haumridhishi mwenzio.
  13. I

    Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Bado hujanikonvis bhana. M nayasubir matokeo yenyewe. Story yako ni kama ya posibo enz zile nafanya pepa.
Back
Top Bottom