Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Of course from my curious habari ya shule za kata kuwa chni imenitisha meen coz ndio nilizosomea god bless me in almight!!
 
Daaah!
Uhakika wa wengi kufaulu najua upp sana tu;kuchungulia kama unavyosema siamini hicho.
LET GOD JUDGE THE RESULTS

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
2lien kdato cha nne..ucjpe moyo wala uckate tamaa..maana hakimu n NECTA umesoma miaka 4 cbr ulchopanda..kama ulpanda chumv uctegemee kuota karanga.
 
Habari wana jf kwa tetec nilizopata matokeo yatakuwa displayed tar 08/02.

Siasa hiyo, mambo ya serikali hii ya fastjet hayaaminiki tena. km mzee fastjet na waziri wake waliahidi ajira mpya ya waalimu january na sasa wameshindwa; tutawaaminije tena?
 
Kama ni hivyo mbona ni hatari,Lakini mimi naona kama umekosea kuchungulia, huwenda umetazama kwa haraka zaidi, kwa hiyo tazama tena tafadhali.....
 
Kaeni mkao wa kula! Tulikua tunamalizia kuingiza kwenye Database! Siyo mabaya sana kama wengi mnavyodhani!
 
Duu!!
Sasa kwanini serikali isiyachakachue ili ufaulu uwe wa kiwango cha kutisha kuwahi kutokea, halafu akina Kinana na Nape kule Kigoma waongeze mtaji wa kisiasa baada ya ile zuga ya kupanda treni, pia kuunadi ufaulu huo wakati wa kuomba kura 2015?

hatutaki watuletee siasa on academic issue
 
Bado hujanikonvis bhana. M nayasubir matokeo yenyewe. Story yako ni kama ya posibo enz zile nafanya pepa.
 
umepata wapi wewe ni uzushi tu kutupa watu vijoto VYA BURE SI POA m2 wangu 2lia matokeo si mchezo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom