Recent content by Iamxyz

  1. Iamxyz

    JamiiForums Tanzania Taaluma kwa Viongozi

    Najaribu kufikiri kuwa kuna namna Viongozi wa Kisiasa ni lazima nao wawe na taaluma ya Uongozi (Governance) kama wanavyo toa matamko kwa waandishi wa Habari
  2. Iamxyz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    DSM idadi ya walio left group letu la Manhood inaongeza kwa speed kubwa kama Deni la Taifa
  3. Iamxyz

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

    Hapo kwenye Simba na Yanga ni ukweli usioumiza kabisa. Ila mambo ya msingi hautoona mtu ana nyanyua mguu wake
  4. Iamxyz

    JamiiForums Tanzania Ni bima ipi ya afya bora kukata? Tupeane uzoefu na ushauri

    Strategies & Jubilee
  5. Iamxyz

    JamiiForums Tanzania Popote ulipo Angel Mungu anakuona

    Hahaha kwishaa
  6. Iamxyz

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba kutoa ukomo wa raisi kuongoza miaka kumi tuu na kumpa nafasi Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kugombea tena 2030

    Hapo ndo umefika mwisho kabisa wa kufikilia au kutoa maoni yako mwenyewe 😅 Put it into Trash
  7. Iamxyz

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuelimishane ulinzi, ni silaha gani nje ya bunduki ni nzuri kuimiliki sehemu unayoishi?

    Kama utakuwa navyo hivyo vyote ambavyo vimetajwa hapo juu. MUHIMU tusisahau CONDOM ni muhimu kulinda afya zetu pia😎
  8. Iamxyz

    JamiiForums Tanzania Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

    Elimu Elimu Elimu. Hii kitu inatukomboa na mambo mengi hususani kama haya ambayo yanahitaji pengine mtu aliyekwenda shule kuweza kutafsiri baadhi ya Sheria au mambo Fulani. Unahisi Elimu ya madrasa pekee itaweza kutafasiri Sheria kama SHERIA? Think out Loud🤔
  9. Iamxyz

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda njoo jukwaani

    Nchi inahitaji watu kama Wakili Mwabukusi kwa kila Mkoa, mbona serikali ingenyooka sana. It's a time yatupasa tuamke Watanzania.
  10. Iamxyz

    JamiiForums Tanzania Mkumbusheni Ali Hapi: "You will eventually become what you pretend to be"

    Hapo kwenye ukulima naona amecheza vyema kalata yake vyema kabisa
Back
Top Bottom