Recent content by iamwhoiam

  1. I

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Mwenye kujua wapi ntapata sprayer kama hiyo msaada tafadhali
  2. I

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Othello top haipatikani balton dar na arusha, nimechukua othello yenye azoxystrobin pekeyake
  3. I

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Wakuu dawa gani ya kutibu ukungu kwenye nyanya???
  4. I

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Mvua inaponyesha tu ni dawa gani inatumika kuzuia ukungu kwenye nyanya?
  5. I

    Kwanini Watanzania wengi hawajui/hawafanyi Biashara za Exportation kwenye mazao ya Kilimo?

    Wapo wakulima kutoka Arusha wana export maazao yao kwenda nje, kuna Serengeti fresh, africado na wengineo
  6. I

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Wadau kuna mtu ashawahi kufanya tomato cloning? yaan unakata suckers au vikonyo unaviotesha the unakua mche wa nyanya? Na je production yake ni kama ya parent plant?
  7. I

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Hakuna kemikali hata moja hapo, hzo ni bio pesticides, ni fungus na wadudu rafiki ambao huua wadudu hatari
  8. I

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Last week nimepiga recharge, jana nikaangalia matokeo nikaona wameacha kuharibu majani, nikapiga antario, naipa kama siku 3 hvi niki observe matokeo then nipige biotrine. Swali ni kwamba hzi bio products nazotumia zinaua larvae peke yake au pamoja na adult?
  9. I

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Active ingredient inaitwaje?
  10. I

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Wadau kuna mtu anayejua kumuangamiza kantangaze apart from using belt, coragen na wiltgo?
  11. I

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Naomba sifa zake, unaweza ipambanisha na Assila?
  12. I

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Nani mwenye uzoefu na Jarrah ya Rijk Zwaan?
  13. I

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu kila nikijaribu kucheck ticket kwenye meridianbet inakataa. Nini tatizo?
  14. I

    Whatsapp calling activation

    Thanks mkuu imekubali
  15. I

    Civil Engineer natafuta kazi

    Kampuni gani mkuu?
Back
Top Bottom