Recent content by Iamvitalis04

  1. Iamvitalis04

    Naomba kujuzwa juu la hili la Kijeshi

    Acha uongo mzee, yani serikali ikupeleke ukomando ili uje ukimbizane na vibaka wa usiku kweliii!?
  2. Iamvitalis04

    Naomba kujuzwa juu la hili la Kijeshi

    Mzee unasikiliza sana stor za vijiweni tatzo
  3. Iamvitalis04

    Naomba kujuzwa juu la hili la Kijeshi

    Idd amin hakua field marshal mkuu
  4. Iamvitalis04

    Naomba kujuzwa juu la hili la Kijeshi

    Ffu nawao unaita makomandoo?
  5. Iamvitalis04

    Naomba kujuzwa juu la hili la Kijeshi

    Tuambie wewe mkuu cheo cha mwisho ni kipi?
  6. Iamvitalis04

    Naomba kujuzwa juu la hili la Kijeshi

    Field marshal ndio cheo cha mwisho kabisa katika jeshi uyo anakua ni zaidi ya komando, kwa afrika sidhani kama wapo
  7. Iamvitalis04

    Hakuna watu wanaopenda kujisifu kama wacheza drafti

    We sio mzee wa njombe kweli!?[emoji848] Mpambanaji nisiechoka kupambana
  8. Iamvitalis04

    Hakuna watu wanaopenda kujisifu kama wacheza drafti

    Mchafu hajafa mbona Mpambanaji nisiechoka kupambana
  9. Iamvitalis04

    Everything goes wrong (naelekea nisipotaka kuelekea)

    Amina[emoji120] Mpambanaji nisiechoka kupambana
  10. Iamvitalis04

    Everything goes wrong (naelekea nisipotaka kuelekea)

    Kumjudge mtu sio kazi yangu wala yako tumuachie mungu. Mpambanaji nisiechoka kupambana
  11. Iamvitalis04

    Everything goes wrong (naelekea nisipotaka kuelekea)

    Kitengo nilichokua jamaa ndio yupo sasa ila mimi nipo sawa kabisa sina kinyongo nae ila jamaa hatak hata kuniona
  12. Iamvitalis04

    Everything goes wrong (naelekea nisipotaka kuelekea)

    Nitajitahidi kila nitakavyoweza kumtafuta mungu
Back
Top Bottom