Recent content by IamTheMan

  1. IamTheMan

    Nani Zaidi: Perfect Crispin v/s Kennedy the Remedy

    Kennedy is miles ahead of perfect na hapendi show off
  2. IamTheMan

    Nyimbo 20 bora za Mwana Falsafa za muda wote

    hii list imekosa mikwaju mingi mikali ya Fa 1.Alikufa kwa ngoma 2.Tuliza ball 3.Basi aje
  3. IamTheMan

    Nyimbo 20 bora za Mwana Falsafa za muda wote

    usije irudia hii kauli sawa mkuu
  4. IamTheMan

    Kwanini Selena Gomez ana wafuasi wengi Instagram?

    Unapokua karibu na fans wako una attract fans wapya kila siku
  5. IamTheMan

    Hii ndiyo top 5 ya mameneja bora wa muziki Tanzania

    1.Asha Baraka 2.Saidi Fella 3.Abdul Bonge (RIP)
  6. IamTheMan

    Nani ameelimisha sana jamii? Jay Mo (Mo technique ) Vs Fid Q (Farid Kubanda)

    Wote wakali ila Jay Moe anauwezo wa kuufikisha ujumbe wake kwa watu wengi sana kwani anachorap hata ambaye hajaenda shule anauelewa ujumbe mfano Story 3. Kwa upande wa Fid Q unahitaji kuwa na thinking capacity kubwa kuweza kumuelewa lasivyo utajikuta unazimika na flow pamoja na beat tu ila...
  7. IamTheMan

    My top/best ten hip hop lyricists of all time

    MY TOP TEN 1.B.I.G 2.Nas 3.Rakim 4.Jay Z 5.2pac 6.Ice Cube 7.Eminem 8.Immortal Tech 9.Andre 3000 10.Big Pun
  8. IamTheMan

    My top five diss tracks of all time

    Top 3 1. Hit em up by 2Pac 2.No Vaseline by Ice Cube 3.Ether by Nas
  9. IamTheMan

    Pusha T vs Drake

    Hahahah Drake alijua Pusha T ni kama meek, tunahitaji more battles kama hizi ts good for the culture
  10. IamTheMan

    Pusha T vs Drake

    Pusha ni mbaya sanaa kwenye kuchora, Drake kapigwa KO akiamka kwenye hii atakua amekomaa kihip hop zaidi hahaha story of adidon is firee ma G
  11. IamTheMan

    Hatimaye Mr. Blue amuangukia Diamond Platnumz na kumuomba yaishe

    Ulishapata time ya kuskiliza interview ya Blue aliofanya na Lil Ommy? kama bado utakua hufahamu mengi kuhusu Diamond na Blue, there was no beef btwn them
  12. IamTheMan

    Nicki Minaj and Eminem: New couple in town?

    Mzee Nas alianza kula mzigo kitambo sana
  13. IamTheMan

    Q Chillah anahitaji msaada gani?

    Hahahaha nasubiria reply za wanaume wa Dar
  14. IamTheMan

    Q Chillah anahitaji msaada gani?

    Q-Chillah, T.I.D ni wasanii wakali sana ila wamekosa nidhamu tu, hata ukiwa na management ila ukakosa nidhamu kufanikiwa itakuwa ngumu sana, huwezi niambia Ali na Diamond ni wakali kuliko Chillah and T.I.D? ila utofauti uliopo kati yao ni nidhamu tu. Hakuna mtu mwenye pesa atawekeza pesa zake na...
Back
Top Bottom