Nyimbo 20 bora za Mwana Falsafa za muda wote

Namba moja kabisa ni alikufa kwa ngoma, hiu ngoma imekamilika kwa kila kitu unachokijua ww nyimbo iitwe nyimbo nzuri..
1.alikufa kwa ngoma ft jide
2.hawajui ft jide
3. Ingekuwa vipi
4. Mabinti
5. Kiboko yangu

Hizi ngoma kuanzia mashairi na mazagazaga mengine alitulua mnooo
 
leo naomba nijaribu kuwaletea nyimbo 20 bora kabisaa za za mtoto wa mwanamuziki nguli wa zamani mzee mwinjuma aka mc mbondei
Ambazo hazitakuja kukaa kuchuja zingne ni za zamani ila kwa ubora wake zingetoka kipindi hiki zingefanya vema sana

1.ingekuwa vipi ft jaymoe
2.unanisikiliza mchumba
3.mabinti
4.wanapendana ft dully sykes
5.aminia ft ngwea and inspector haroun
6.wakati umelala ft mangustino,jos mtambo & immam abbas
7.haina ufagio
8.mtumishi ft mike T & banana zorro
9.unanitega ft pauline zongo
10.hawajui ft jay dee
11.ukinitazama ft TID
12.siku hazifanani ft zahir zorro
13.siendi club ft jay moe and unique sisters
14.bado nipo nipo
15.sitoi hela
16.mfalme ft g nako
17.kiboko yangu ft alikiba
18.verse moja ft dudubaya
19.nazeeka sasa
20.sitoamka ft jaydee
unamjua Mwana FA lakini??
 
usiache kuogea ft ladjd
naongea nawew
asanteni kwakuja
unanijua unaniskia
kama zamani ft dojodomo na wananjenje
dume suruali
hata sielew nk
all in all uyu jamaaa ndo lyricist mkali kutowah legeza maaandsh kilasku n kama Jana yaaan
 
Ni Verse moja tu ya mwana fa na dudu.
-Ingekuwa vp nakumbuka ni mwaka kama 2000 au 2001 ndio niliisikia,ingekuwa vp kusingekuwa na Ngoma unadhani ningesema "Mimi na mabinti damdam?"
---Tuliza Ball akiwa na Shark muziki unakuruka ruka pataaaaaaaaa
-Wanapendana
-Ni Juhudi zetu ft Prof jay
 
Ongeza Showtime hapo.. kali sana
 
Kuna wimbo unaitwa Godfather sio official song ila humo ndani kakamua kigumu sana.
Kuna Haina ufagio,Noma feat kleptomaniac ( Nyashiski)
 
Kuna wimbo unaitwa Godfather sio official song ila humo ndani kakamua kigumu sana.
Kuna Haina ufagio,Noma feat kleptomaniac ( Nyashiski)
Zinapatikana kwenye album yake ya tatu na ya mwisho kutoka ya unanitega
 
hii list imekosa mikwaju mingi mikali ya Fa
1.Alikufa kwa ngoma
2.Tuliza ball
3.Basi aje
 
leo naomba nijaribu kuwaletea nyimbo 20 bora kabisaa za za mtoto wa mwanamuziki nguli wa zamani mzee mwinjuma aka mc mbondei
Ambazo hazitakuja kukaa kuchuja zingne ni za zamani ila kwa ubora wake zingetoka kipindi hiki zingefanya vema sana

1.ingekuwa vipi ft jaymoe
2.unanisikiliza mchumba
3.mabinti
4.wanapendana ft dully sykes
5.aminia ft ngwea and inspector haroun
6.wakati umelala ft mangustino,jos mtambo & immam abbas
7.haina ufagio
8.mtumishi ft mike T & banana zorro
9.unanitega ft pauline zongo
10.hawajui ft jay dee
11.ukinitazama ft TID
12.siku hazifanani ft zahir zorro
13.siendi club ft jay moe and unique sisters
14.bado nipo nipo
15.sitoi hela
16.mfalme ft g nako
17.kiboko yangu ft alikiba
18.verse moja ft dudubaya
19.nazeeka sasa
20.sitoamka ft jaydee
Show time 2004 mkuu unaijua?
 
1. Alikufa kwa ngoma
2. Mabinti
3. Ingekuwa vipi
4. Bado nipo nipo
5. Unanitega
6. Tuliza ball
7. Showtime
8. Sitoamka
9. Unanijua Unanisikia
10. Nyingine zote nilizoziacha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom