Recent content by iammimi

  1. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa, unakumbuka kauli hii ya Kikwete?

    Gud question, watuthibitishie utiifu wao kwa El
  2. I

    JamiiForums Tanzania Salaam kwa Mh. Edward Lowassa na wenzake

    Rafiki zake wooote wanatuhuma hv watanzania tunawazaga nn yaan kumpigia debe mtu ambaye wote waliomzunguka kila mtu anakashfa yake jamani tuamke, hlf napoona kijana unakuwa minded fance ukizeeka lazima uwe chatu,
  3. I

    JamiiForums Tanzania Salaam kwa Mh. Edward Lowassa na wenzake

    Kauli ya kwamba lowassa anakubaliwa na watz wote mi nadhani c sahihi jizungumzie ww unayemkubali na cvnginevyo
  4. I

    JamiiForums Tanzania GE2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

    Jaman hata EL angekuwa mkweli why asitoboe ukweli wote wa Richmond na hapo ndipo kashfa ya ufisadi itamuepuka lkn anapokaa kimyaa sasa anapokaa kimya anamaanisha nn, mtu anayetaka kugombea nafasi kubwa namna hiyo ya uongozi hlf ana tuhuma kubwa ya ufisadi na hataki kuutolea ufafanuzi wkt alisema...
  5. I

    JamiiForums Tanzania GE2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

    Yes Salary Slip tena ni tamko c taarifa
  6. I

    JamiiForums Tanzania GE2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

    Halafu as journalist unapopata taarifa hutakiwi kuitoa kwa kuegemea upande mmoja na ushasema ni tetesi mbn km kwa upande mwingine ushaziamini tayari, kwa hiyo hata c wanajaJF unataka tuwe upande upi?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Aunty Ezekiel

    Duuuuu!!!!! mbna shida
Back
Top Bottom