Mkuu nimeapply sana hapa Mwanza na hadi mikoa mingine...sasa katika kufikirisha ubongo zaidi ndio nikakumbuka kuna Mtanzania mwenzangu ni Chief huko Sweden...anaweza nisaidia
Dah ndugu Sweden nimeenda lini? mie nilisoma habari za Mtanzania aliyefungua Mgahawa Sweden...so nimeona hiyo ni fursa kam tu nitawasiliana nae na kumweleza CV yangu mdogo wake niliyepo Tanzania. niko Mwanza
Mkuu kwakweli sina tatizo zaidi ya kukoswa kazi. Uzoefu huo mwaka mmoja nilifanya Ilboru Safari Lodge na miaka 3 nimefanya Malaika pale Mwanza...ni kwamba ni ajira tu ndo zimekuwa ngumu mkuu...
Wakuu,
Mimi ni msomi wa ngazi ya Diploma; Hotel Management & Catering na nina uzoefu wa miaka 4. Naombeni kwa yeyote anayemfahamu au mwenye mawasiliano na yule Mtanzania mwenzangu aliye fungua Mgahawa/Restaurant nchini Sweden niende nikawe hata Muosha vyombo maana nimehangaika sana sipati kazi...
Nimewaza tu na sina nia kumvunjia mtu yeyote heshima, lakini hainiingii akilini kwa mtu kama Waziri mkuu wa Nchi Mh. Majaliwa kuwaza Wanyama (Pharu John & Co) kuliko wapigania Haki za wananchi waliomuweka hapo alipo.
#FreeThinking
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.