Recent content by Iam__junior

  1. Iam__junior

    JamiiForums Tanzania Advanced level inaelekea kupoteza mvuto

    Exactly
  2. Iam__junior

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam mechi ya Azam na Yanga itapigika kweli kwa Mkapa?

    Mvua ina-dilute uchawi, baadae inakata
  3. Iam__junior

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu submitted na confirmed NACTE

    anaandikiwa SUBMITTED Ipo hv SUBMITTED means unachangamoto kwenye mitihan yako after NACTE kuchek inaweza kuwa sup, RM, Disco, Incom… etc
  4. Iam__junior

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu submitted na confirmed NACTE

    Hiyo kwenye matokeo ya kubandikwa kama ni chuo ila ukija kwenye website ya NACTE alichosema jamaa ni sahihi CONFIRMED means Pass SUBMITTED upo Sup Au RM
  5. Iam__junior

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Wa Kozi

    Thanka[emoji120]
  6. Iam__junior

    JamiiForums Tanzania Laptop gani ni nzuri kwa coding na programming kwa bei nafuu?

    [emoji28][emoji28][emoji28]
  7. Iam__junior

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Wa Kozi

    Habari Wana JF. Naomba Kuuliza Kipi Hupewa Kipaumbele Katika Uchaguzi Wa Kozi.?? Ama Nini Mtu Aweze Kuangalia Katika Uchaguzi Wa Kozi.?? NB:Achana Na Ajira
  8. Iam__junior

    JamiiForums Tanzania Kozi zipi za ziada unaweza soma wakati unachukua degree ya udaktari?

    hahahah si unajua kuna priorities mkuu
  9. Iam__junior

    JamiiForums Tanzania Kozi zipi za ziada unaweza soma wakati unachukua degree ya udaktari?

    Hahahahaha,, muhimbili huku bada acha tu ni sio as a student ili ni up-doctor kabisa no time to wast for sure
  10. Iam__junior

    JamiiForums Tanzania Kozi zipi za ziada unaweza soma wakati unachukua degree ya udaktari?

    ni wazo pia. ila sio hadi kufikia kuacha chuo ila unaweza kugawa BOOM na kuweka kwenye biashara hilo watu wanafnya na sio kuacha kabisa chuo. ko kam kufanya biashara aligawe tu hilo boom km unmshauri ishu ya biashara
  11. Iam__junior

    JamiiForums Tanzania Kozi zipi za ziada unaweza soma wakati unachukua degree ya udaktari?

    Hahaha Kila Huyo Einstein Umemjulia Wapi
  12. Iam__junior

    JamiiForums Tanzania Kozi zipi za ziada unaweza soma wakati unachukua degree ya udaktari?

    kwa upande wangu naona kama muda unao wa kutosha tafuta short course hasa kwa vitu unavyoona we mwenyew vitakusaidia kwa namna moja ama nyingine wakati wa kazi au hata kam ujapata kazi baada ya kumaliza. Mimi pia nasoma udaktari ila nasoma short course ya graphic design na nitaendelea hata...
Back
Top Bottom