Recent content by Iam16

  1. I

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Afu huyu INSIDER mwanzoni alikuwa anasema Iryn alikuwa anamuita gentleman,,,,ila huo u gentle hatuoni hapa mana aliahidi mwenyewe atakuwa anatoa episodes ijumaa,jmos na jumapili ila jmos hakuna kitu na jpil pia,,,huo ndo u gentle gani sasa akati you can't keep your promises
  2. I

    JamiiForums Tanzania Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Muelewe mleta mada,,,,ko hata kama ulimpenda ndo awe anazurura tu usiku eti anaalikwa dinner na watu usowajua,mixer nyumbani hakuna kitu anamfanyia mumewe nyumbani huo sio upendo
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

    Ni ujinga wa levo ya jehanum,,,na hawa mapaka wanaofurahia oooh muacheni aishi uhalisia wake watakua nao wanapakuliwa tuu
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

    Ndo hata mimi nikawa najiuliza mbona uyu jamaa kuimba anaimba hovyo,,,,anapewa tu kuimba vipande vya mwisho,,si wangemtoa kundini kumbe mzee dada anatunzwa manake anawapaga wenzake makalio ko wanamlinda kama mpenzi wao tu,,hahahahaaa
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huu umalaya walioufanya Man utd washuke ata daraja ilikuwa 6800000 hii
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Usijipe uhakika dizaini iyo mkuu,,,iyo ngoma ya atletico na porto gg hakuna humo,,,ata psg awezi toa mazee
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nauza pasi original za Philips

    Brother unauza pasi namba uliyoweka kuwasiliana na wewe haipatikani
Back
Top Bottom