Thaconfession
JF-Expert Member
- Jun 16, 2021
- 301
- 594
- Thread starter
- #41
0629109840Namba ya simu plz, nipigie 0784 800 386
Karibu mkuu
0629109840Namba ya simu plz, nipigie 0784 800 386
Mimi ninayo made in indonesia kama hiyo unayoitangaza niliinunua Mwanjelwa kwa 35000/=Bila shaka hiyo ni made in China!
Zipo za mpaka 15000 mkuu, ni chaguo la mnunuzi tu, na kama ni aina hii hii ninayoitangaza na umenunua kwa 35,000/= naomba weka hapa ushahidi wa picha inayoonyesha manufacturer, then nitakupa 35000 uniletee pia!
Sure mi nilinunua 35Punguza bei. Nmenunua wiki hii Mwanza Kwa elfu 37 na warranty ya miaka miwili
Weka picha halisi za mzigo wako ndugu, kuongeza uhakika wa bidhaa yako maana mabibo siku hizi kunatisha sana huko
Aiseeee wakubwa made in china nimelpigwa na watu wa mjini aiseeee
Brother unauza pasi namba uliyoweka kuwasiliana na wewe haipatikaniNinauza pasi original za Philips!
Hizi ni pasi bora na imara mno,ukiinunua na kuitunza vizuri ni mkataba wa kudumu, Hizi pasi ni mpya na zipo kwa box zake.
Kwa bei za dukani zinauzwa 45000-50000, Mimi nitakuuzia sh.40,000/= tu, nina pasi 25, karibuni, nipo Mabibo,na kama upo mkoani nitakutumia pia!
Kwa mawasiliano zaidi nicheck kwa 0629109840.View attachment 1840407