Recent content by Iam chichiii

  1. I

    JamiiForums Tanzania Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

    Inaonesha mrusi amechemsha alifikiri hii ni kazi ya siku mbili tu kumbe mambo ni magumu, sasa anatishia ma nuklia . nimesha mzarau sana huyu mrusi.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Tutaendelea na mapambano Mahakamani, tutaivua nguo Serikali

    Acha uzembe wa kufikiri, kwa akili yako makomandoo watatu walipwe laki sita ili wakafanye ugaidi kwa mwenye akili timamu hilo haliingii akilini , na kama ni hivyo hii nchi hatuna makomandoo kabisa .
  3. I

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Tanzania, Donald J. Wright apongeza Rais Samia, Lissu kukutana uso kwa uso

    Ccm maslahi wamechukia sana , wanajua kitumbua kinaingia mchanga
  4. I

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akifutiwa mashtaka itakuwa ni ushindi mkubwa CHADEMA

    Hivi kumbe ma ccm yanapenda Mbowe afungwe , poleni sanaaa, siku nyingine mkajifunze namna ya kutunga kesi.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

    Mimi binafsi sijaona kosa la Lisu , kulikuwa hakuna haja ya kuficha kitu, sote tulikua na hamu kubwa ya kujua kulikoni , kama asinge tuelezea tungebaki na kimuhemuhe, bora katutuliza mioyo, big up Lisu , bigup Mama Samia.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wamechukizwa na kitendo cha Lissu na Samia kukutana?

    watu wengi wako ccm kwa maslahi binafsi , wanapo sikia katiba mpya wanauona mwisho wa ulaji wao umefika.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Rais Samia dhidi ya Lukuvi na Kabudi kuwaweka kwapani ni kudhibiti kundi la urais 2025 dhidi yake, atafanikiwa?

    Wote ni mafisi emu , hakuna mwenye ujasiri hatammoja hapo.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Miaka yote tunaambiwa uchaguzi ni huru chini ya tume huru leo tunatafuta tume gani Watanzania sio wajinga

    Hatutaki tume huru ya michongo, Tunataka katiba mpya ya wananchi itakayo tuletea tume huru ya kweli.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi

    Tunataka Tume huru itakayo letwa na katiba mpya sio tume huru ya michongo.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Chereko chereko ujio Tume Huru ya Uchaguzi

    Hatutaki tume huru ya michongo , Tunataka katiba mpya ambayo italeta tume huru, ikiangalia muundo wa hiyo tume huru hapo juu utagundua imejaza watu wa kuteuliwa , majaji michongo na maspika michongo .
  11. I

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mabula: Katiba Mpya sio kipaumbele cha wananchi, Wananchi wanahitaji maendeleo

    Huyu naye ni mnufaika wa katiba hii mbovu kabisa , katiba inayompa Rais nguvu ya kifalme au uungu mtu , ma ccm lazima yaifagilie haya ndiyo yale yaliyopita bila kupingwa kwenye uchafuvi mkuu uliopita , halafu anajifanya anaijua katiba ya Amerika kumbe ni hewa ajui lolote . Katiba ya...
  12. I

    JamiiForums Tanzania CCM hawana Ubavu wa kumfukuza Polepole kwa sababu ya Madudu ya Ndugai Bungeni

    Haya majamaa hayafai .
  13. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Watanzania wanataka amani, maendeleo, siyo Katiba Mpya

    lijamaa linajikomba kwa rais, haya ndio yale yanayo mshauri vibaya rais nia aibu kubwa kwa taifa kuwa na mawziri kama hawa .
  14. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Watanzania wanataka amani, maendeleo, siyo Katiba Mpya

    Hili jamaa nalishangaa sana , lenyewe linaona hii katiba ni bora kwasababu ina manufaa kwa watawala haya ndio yale yalio pita bila kupingwa, ni aibu kwa waziri mzima kushabikia katiba mbovu inayo mpa rais madaraka ya kifalme .
Back
Top Bottom