Alichokifanya Rais Samia dhidi ya Lukuvi na Kabudi kuwaweka kwapani ni kudhibiti kundi la urais 2025 dhidi yake, atafanikiwa?

Ashindwe kumuogopa Kubwa la maadui Nduguyayi aje amuogope Kabudi? Anamuheshimu sababu Prof. anajiheshimu! Tofautisha kati ya heshima na uoga
 
Kila kitu hapa duniani kina hesabu au kinahitaji hesabu. Mama amepiga hesabu za heri nusu shari kuliko shari kamili . We mwenyewe pata picha bwana kabudi kwa bahati...
Hivi unafikiri unaweza kuwa Spika bila Mama kukubali nani awe Spika? Hapa tunapoongea tayari ana kajina kake kwenye pochi
 
Uovu ulianzia kwa mungu wenu kutoka Chato tulimkemea ila mliona kama kuna double standard.

Sasa huyu mama yenu si ndiye mrithi wake mnategemea tofauti??
 
Kila kitu hapa duniani kina hesabu au kinahitaji hesabu. Mama amepiga hesabu za heri nusu shari kuliko shari kamili . We mwenyewe pata picha bwana kabudi kwa bahati...
Kabudi boya sana kipindi Cha uongozi dhalimu alikuwa yeye ndio kilakitu. Mwendazake alimuweka karibu sababu ya kiingereza, maana mwendazake alikuwa hajui kidhungu
 
Kila kitu hapa duniani kina hesabu au kinahitaji hesabu. Mama amepiga hesabu za heri nusu shari kuliko shari kamili . We mwenyewe pata picha bwana kabudi kwa bahati mbaxa...
Unajua nani anaoitisha jina la spika au unaongea tu,kunywa maji kwanza
 
Kama anamuogopa Je nani kamtumbua mwenzake?

Piga kazi mama tumecheleweshwa mno kama taifa zaidi y miaka 6 hivi.
 
Back
Top Bottom