Kufanya usajili mkubwa kama wa chelsea bado hakutaifanya iwe hatar itategemea na chemistry ya wachezaji itakua je ikikaa vzur watakuwa hatar maana kama msimu uliopita walikua na timu nzur ila lakn no chemistry ndo maana ukaona hali yao ilikua dhaifu
UDOM,UDSM,DIT ST. JOSEPH nk pia unaweza kusoma hapa course description ya computer science itakauojibu maswali yako kama vile vitu gan utasoma, qualifications and kazi utakazofanya baada ya kumaliza degree yako Bachelor of Science In Computer Science 2022 - TZCAREERS
Kwanza pole na hongera kwa kumaliza mtihan. kama tunavyojua n watu wachache sana wanamoyo na utayar wakutaka ushauri kuhusu chuo almost watu wengi wanajikutaga wao ndo wanajua Kila kitu/wengine hupotezwa sana wanapoenda kuaply vyuo stationary jambo la msingi inabid uisome tcu guide book New TCU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.