Recent content by i see me

  1. I

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kampuni za Simu zinavyowaibia wateja wao!

    hela zote tunazowapa haziwatoshi kweli mwezi halidhiki
  2. I

    JamiiForums Tanzania TPDC wameanza kuita watu kazini, kaa karibu na simu yako

    watu washaitwa na kuanza kazi kaka.....try nexttme
  3. I

    JamiiForums Tanzania TPDC wameanza kuita watu kazini, kaa karibu na simu yako

    hongera kaka! hebu jarbu tuchekie post zp tayari
  4. I

    JamiiForums Tanzania TPDC wameanza kuita watu kazini, kaa karibu na simu yako

    post gani hyo kaka
  5. I

    JamiiForums Tanzania TPDC wameanza kuita watu kazini, kaa karibu na simu yako

    ameitwa post gani huyo ndugu yako?!
  6. I

    JamiiForums Tanzania Tuliofanya usaili TPDC mwezi Mei majibu ni lini?

    sasa hao wanaoitwa mbona kwenye website hawaonyeshi majina yao.....mtu ukiwa na uhakika na jambo andika kama huna kaa kimya tu! usitupanikishe!!!!!!
  7. I

    JamiiForums Tanzania Tuliofanya usaili TPDC mwezi Mei majibu ni lini?

    si watoe majibu basi tukae tukijua nani kapata na nani kakosa....,,..au mchakato gani huu unaochukua miezi minne
  8. I

    JamiiForums Tanzania Tuliofanya usaili TPDC mwezi Mei majibu ni lini?

    kaka unauhakika na unachokisema because kama ndio wameajiliwa mbona kwenye website hayapo majina au ndo utaratibu gani?hao wa mwezi wa saba majina yao yamebadikwa
  9. I

    JamiiForums Tanzania TPDC wameshaanza kuita watu kazini

    ni maengineer wote wameitwa au baadhi yao? hebu nichekie instrumentation Engineer kama wameitwa
  10. I

    JamiiForums Tanzania TPDC wameshaanza kuita watu kazini

    Tusubirie tuone tu! ila la msingi ni mwenye namba ya HR ampigie tujue kulikoni.
  11. I

    JamiiForums Tanzania TPDC wameshaanza kuita watu kazini

    bro! mbona hatuyaoni hayo majina ya mwezi wa tano yakibandikwa?
Back
Top Bottom