Recent content by I and myself

  1. I and myself

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Kibamba naomba mwongozo

    Wewe unataka uishi kibamba ipi Mimi naishi kibamba shule sehemumoja Ina itwa Tanki la maji kwa hiyo madalali ninao wajuwa ni WA kibamba shule
  2. I and myself

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Kibamba naomba mwongozo

    Karibu kibamba mm nilitoka nyimbani nokaja kuanzisha maisha kibamba nashukuru Mungu sihaba maisha Yana kwenda upepo safi mazingira safi Mimi naishi kibamba shule hondogo kunako tegemewa kuja kujengwa chuo Cha veta wilaya ya ubungo
  3. I and myself

    JamiiForums Tanzania Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

    Mbona hizi taa mjini zipo nyingi tu bosi
  4. I and myself

    JamiiForums Tanzania Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

    Mtaa Gani hapo kariakoo na duka lako Lina itwaje Nije Mzee ila tufanyiane fair mana wengine tuna unga unga
  5. I and myself

    JamiiForums Tanzania Tunauza mbao za dawa na zisizo na dawa kwa bei rafiki

    Tunauza mbao za dawa na zisizo na dawa kwa bei rafiki kabisa mbao ndefu za dawa 2*4 ni shilingi 13,000 mbao za futi 12 za 2*4 ni shilingi 5000,2*2 za dawa ni 2800 ofisi zetu zipo mbezi mwisho karibuni sana
  6. I and myself

    JamiiForums Tanzania Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

    Mkuu wewe mwenyewe duka lako lipo wapi Mimi nataka Nije kununuwa kwako naimani utakuwa una uza fair sana bidhaa zauko mana sio kwa upendo huku ulio tupa humu
  7. I and myself

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata kiwanja cha milioni 3 kwa Dar?

    Njoo mtaa wa muheza Kara ya maili moja halmashauri ya kibaha mji.. Utashukia Kibamba shule arafu una chukuwa boda boda 1500..
  8. I and myself

    JamiiForums Tanzania Wakili Msomi: Yanga wamefanya uzembe kwa Feisal

    Kilicho fanyika hapo ndugu ni Feisal kwanza kuvunja mkataba na yanga hiyo battle I'll kuwa yao wawili kwanza baada ya hapo ndo kaja kusaini timu x hii ngoma no ya Feisal na Yanga tu timu x haihusiki hapa bado. Baada ya hapo ndo ana saini timu x bisahara closed mkataba was kijinga sana huu Yanga...
  9. I and myself

    JamiiForums Tanzania Kama una pesa, wekeza kwenye viwanja

    Mimi mkishanunuwa naomba mnipe kazi ya kusimamia ujenzi wa majengo yenu
  10. I and myself

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumbe Mheshimiwa Membe ni laghai wa kisiasa!

    Mwesigwa mwenyewe kwenye baadhi ya kampeni zake Alisha sema Urais tumchaguwe Lisu kwenye ubunge tumpe yeye na udiwani apewe mgawe Leo ana sema vingine teeh teeh
  11. I and myself

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nawaza kuuza kiwanja nifanye biashara baada ya kufukuzwa kazi. Nina familia inayonitegemea

    Mm ushauri wangu kwako usiuze kiwanja kama una akiba kidogo nenda kanunuwe mabati yaliyo tumika ya msumari mmoja,miti na milunda nenda kapige full suti ya vyumba viwili kwenye hicho kiwanja.. Tafuta matairi ya gari kama kumi hivi chimba shimo ndo yawe shimo lako la choo mkiamia kwenu anza fuga...
  12. I and myself

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Malila yupo poa kati ya wapambanaji huyu jamaa n mmoja wapo
  13. I and myself

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ng'ombe: Mkoa gani naweza kununua ng'ombe kwa bei nafuu

    Pwani kubwa boss pwani ipi hiyo kama huta jari utusaidie hapa ili tuzidi pata mwanga
  14. I and myself

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

    Ulitakiwa uji ulize pia udiwani wa kibamba alishinda vipi hakuna mtu asie mkubali Mgawe siku Fanya utafiti njoo kibamba ulizia sifa zake ndo utamuelewa Mgawe ni mtu peace sana na asilimia kubwa ya wana kibamba wana muelewa sana
  15. I and myself

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Ndugu ni ngumu mtu aliye mbali na eneo lako kukushauri aina ya biashara ufanye kwenye hilo eneo mana wewe ndo una lijuwa vyema tuna weza tuka kushauri uweke pombe sigara kumbe eneo lako lipo karibu na kanisa au tuka kushauri ufunguwe bucha la nguruwe kumbe upo jirani na msikiti na huto weza pata...
Back
Top Bottom