Recent content by I and J Son

  1. I and J Son

    Mtaala mpya haujaeleweka? Au tunacheza na maisha ya watoto wetu?

    Mi nadhani mambo ya kuchagua fani yangeanzia KIDATO Cha TATU kama zamani, kwasababu mtoto anakuwa aneshasoma masomo yote, ameshajua ni masomo yapi anafaulu na anayapenda ila hili la kuchagua bado upo KIDATO Cha kwanza ni mtihani kweli kweli waliowapa wazazi na wanafunzi.
  2. I and J Son

    Simba na Yanga kushindwa kutoa pole hadi leo ni dharau kwa mashabiki. Mmetumika kisiasa iweje msijali matukio ya kisiasa?

    Kwasababu ndizo timu zenye ushindani na ndizo zinazochukua ubingwa mara Kwa mara
  3. I and J Son

    Njia za kusolve simultaneous equation

    Let Tea represented by letter T and Coffee by letter C 2T + 2C=£10 ------- (eq 1) 2T + 1C = £7------- (eq 2) Since the coefficient of T is same directly perform substraction eq 1 - eq 2 (2T + 2C=£10)-(2T + 1C = £7) After substract the two equation we obtain the value of C= £3 SUbstitute the...
  4. I and J Son

    Njia za kusolve simultaneous equation

    Alikufundisha kwa kutumia njia gani kati ya hizo 4?
  5. I and J Son

    Njia za kusolve simultaneous equation

    Hesabu za Simultaneous equation zinaweza kusoviwa kwa njia nne ambazo ni 1) Substitution method 2)Elimination method 3)Graphical method 4)Matrix method. Hivyo thread zijazo tutatazama njinsi ya kutumia njia tajwa katika kusolve simultaneous equation.
  6. I and J Son

    Usajili wa Engineers, Kwenye Bodi ya Wakandarasi (ERB) Hatua zake inakuwaje kusajiliwa?

    Pale Katika requirements za kuwa graduate engineer ,Kuna requirement ya kusubmit certified copies of certificates and original against the copies.Swali langu ni vyeti gani vinavyohitajika ku be verified na ni Kwa njia gani(mamlaka inayohusika na Iko kitendo Cha verification).
Back
Top Bottom