Recent content by I AM BANE

  1. I AM BANE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    upinzani sio chama ni spirit hata CCM kuna wapinzani
  2. I AM BANE

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kudumu au ya muda Dodoma nina uzoefu kwenye Sales & marketing, consultation, supervisory roles

    Natafuta kazi ya muda au ya kudumu Dodoma My experience ni kuanzia kwenye Sales & marketing,consultation, supervisory roles kama sales supervisor, property manager, Team leader Nina uzoefu wa miaka 4, na pia nina very valuable skills kama Hardworking, Multitasking, Teamwork, na Fast learning...
  3. I AM BANE

    JamiiForums Tanzania TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

    Alikiba ndio nani? mbona mnapenda kukuza mambo haters, kama kuna mtu wa kucompete na huyu bwana kwenye top 3 alikiba hawezi kuwepo tuomboleze msiba tu.
  4. I AM BANE

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Ajira Portal

    Ahsante sana mkubwa.
  5. I AM BANE

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Ajira Portal

    Habari, Ningependa kujuwa majibu ya Maswali yafuatayo ambayo yatakuwa msaada kwangu na watu wengine wenye kujiuliza. 1. Kama tangazo la kazi na maelezo yake yameandikwa kiswahili mfano AFISA MTENDAJI na sifa zake ni lazima niandike Cover letter na CV kwa kiswahili? 2. Je Barua yangu...
  6. I AM BANE

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Mbona unatufokea
  7. I AM BANE

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa 25 million nifanye biashara gani?

    MPESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY NA UWAKALA WA BENKI hapo pako vizuri kwa hii biashara
  8. I AM BANE

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Achana na kutembea na CVs andika Application Letter (Barua ya kuomba kazi) kwa mwenendo huu

    Applications 200 POST moja nani ana muda wa kusoma barua, lakini anachosema mkuu ni sahihi kama application yako ikipitiwa they need SOMEONE like that sio kukariri mabarua
  9. I AM BANE

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina uzoefu wa miaka minne

    Habari zenu wadau, Mimi ni kijana mwenye Elimu ya level ya SHAHADA nimefanya kazi kwenye MICROFINANCE kwa miaka 4. Nina ujuzi na uzoefu kwenye nafasi zifuatazo Loan Officer, Group leader/ Loan supervisor, Loan Recovery. Nahitaji kazi katika nafasi moja kati ya hizo hapo juu. Ahsante.
Back
Top Bottom