Recent content by hyunhah

  1. hyunhah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

    Wengine ndivyo walivyoumbwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. hyunhah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiachwa achika, hivi kwa nini hamtaki kukubali?

    Ni upepo tu utapita. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. hyunhah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

    Mm nina mfano hai kabisa mda ukifika utapata wala usihofu na mungu anasababu zake kwann kakunyima kwa sasa , ipo cku wala usihofu kama umeandikiwa kupata utapata tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. hyunhah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

    Wala msijali ombeni mungu tu marehemu babu yangu aliishi miaka 12 na bibi bila kupata mtoto, lakini wakaja kupata watoto bibi mungu akampa umri mrefu mpaka kaona vitukuu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. hyunhah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada naona hii hating capacity itaniumiza

    usimchukie kupitiliza kaa tulia relax anza kujipenda mwenyewe then mengine yatajipanga taratibu tu , ukimuona nyani kazeeka ujue ka kwepa mishale mingi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. hyunhah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada naona hii hating capacity itaniumiza

    yataisha ni mtihani tu unapitia , na binadamu tupo tofauti , utasahu tu na maisha yataendelea. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. hyunhah

    JamiiForums Tanzania Picha fikirishi

    umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. hyunhah

    JamiiForums Tanzania "Mungu si Athumani" asili yake ni wapi?

    ni falsafa ilitumika, Sent using Jamii Forums mobile app
  9. hyunhah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania This is how my life is going on! Nani mwingine anaishi kama hivi?

    but yatafika mwisho mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. hyunhah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania This is how my life is going on! Nani mwingine anaishi kama hivi?

    for sure. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. hyunhah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno gani mazuri ya X wako unayokumbuka?

    tumegee kwa lugha ya taifa. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. hyunhah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno gani mazuri ya X wako unayokumbuka?

    poa mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. hyunhah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno gani mazuri ya X wako unayokumbuka?

    hahaha i like spanish. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. hyunhah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania This is how my life is going on! Nani mwingine anaishi kama hivi?

    mkuu sio vitani tu hata wanao kutana na matukio ya kuhuzunisha mnoo. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. hyunhah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania This is how my life is going on! Nani mwingine anaishi kama hivi?

    vitani tu hata wanaokutana na matukio ya kuhuzunisha Sana. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom