Recent content by hyman

  1. hyman

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa maarufu wa mazao ya mbogamboga - KANTANGAZE

    Achakupenda kukosoakosoa2 wenzako kwn ktk ugonjwa wa ukwimi wale wa dudu wanao7bsha ugonjwa wanaitwaje? nazan bila shaka utawaita virus wa ukimw sasa uyo mtoa mada unaemwona amekosea mbn yupo sahii2 maana unavosema uyo mdudu kantangaze anaeshambulia mazao inamaana hapo bilashaka niugonjwa uo je...
  2. hyman

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    iv ktk mafuta lita20 zinaingia grm ngp za caustic soda na sodium siligate kiasi gn? pamoja na maji lita ngp? Naomba mwongozo mkuu
  3. hyman

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    nakama iyo formula iko sawa bc naomba unipe mwongozo ktk gharama zamadawa km ilivo hapo kwny formula na uniambie ktk izo gharama unatoa miche mingap yasabun? km ilivo kwny sabun naomba mwongozo mkuu
  4. hyman

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    mkuu formula yk inasema mafuta lita1 + caustic soda grm135 + maji mls 350 + sodium soligate prm100. mkuu hii ndo formula yako. sasa swali langu icho kipimo cha maji mbn kikubwa sn tofaut na izo grm za caustic na iyo sodium siligate afu tena na ayo mafuta mbn madogo sn maana ayawian kbs izo grm...
  5. hyman

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    mkuu iyo ni green house au
  6. hyman

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Namaanisha Sabun ya MAGAD mkuu nipemwongozo.
  7. hyman

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    ilo somo lako la sabuni ya kipande pamoja na formula yake je kunautafaut gn ktk utengenezaj wa sabun ya magan? naomba mwongozo wk ktk ili mkuu
  8. hyman

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    mkuu nmefatilia sn somo lako tangia juu uko naomba mwongozo jinsi yakusafisha mafuta yamawese
  9. hyman

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Hapo nimekupata mkuu na kwakawaida huwa mwez wa ngp ndo wanaanza kupanda shambani?
  10. hyman

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Na hiyo 840-1700 izo ulisema ni kilo ktk hector moja ambazo unaweza kupata sasa kule kwny mahesabu yako umepga 20000 km kilo ktk hector hapo ndo nashindwa kuelewa ebu naomba muungozo wk ktk ili.
  11. hyman

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Hiyo hesabu yko ya kilo 20,000 ndo ktk heka moja au ya wapi hiyo maana sijakupa vyema nipe muongozo.
  12. hyman

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Gharama za mbegu kwa heka moja inafika sh.ngp, na kwa heka moka mpk kuvuna inacost bei gani? Mkuu tunaomba muongozo wko.
  13. hyman

    JamiiForums Tanzania CUF watoa tamko zito, Taarifa kwa vyombo vya habari

    ccm nyiny amlizk kbs kila k2 tamaa tu
  14. hyman

    JamiiForums Tanzania Swali chokozi: Meli ya kutumbua majipu imegonga mwamba wa BOT na kupoteza uelekeo?

    magu kazi anayo tena
Back
Top Bottom