Wakuu habari,
Naomba msaada wa maarifa kutoka kwa yeyote anayeifahamu huduma ya benki au mobile money inayoruhusu kuweka akiba ya muda maalum (fixed-term saving) kwa mfumo ufuatao:
Nijiwekee muda mfano mwezi 1 hadi mwaka 1
Niwe na uwezo wa kufanya deposit mara kwa mara wakati wa kipindi hicho...
Habari Wakuu,
Kuna mwenye idea ya kuweza kutoa hii kitu my website uki acess via chrome browser / google search engine ina display hio message msaada tafadhali.
Habar for past 2 days FAceapp imepata umaarufu mkubwa na watumiaji wengi je nyuma ya faceapp kuna technology ipi imetumika kuunda hii application je kuna any risk ya privacy kwa watumiaji wa hii app
Napenda kutambulisha kwenu Dar-es-salaam SVG Map code challenge ambayo utatakiwa kutengeneza ramani ya Dar -es-salaam katika mfumo wa SVG .Dhumuni la challenge hii ni kuwa na platform ambayo itawezesha watu ambao wapo kwenye Programing Sector kupata fursa ya kuonyesha skills zao na kupata...
Kwa watakao kuwa interested kufahamu tips mbalimbali in web design waweza request kitu gani ungependa kujifunza na nitakitolea maelezo ......
1.jinsi ya kutengeneza simple log in form
2.jinsi ya kutengeneza data table
Globalstar wanahuduma nzuri na cost zao ni affordable
ila kwa africa Thuraya ....coverage yake inafanya kazi vizur ila price za huduma ziko high..
waweza cheki kwenye Satellite Phones & Rentals from Globalstar, Iridium, Inmarsat & Thuraya - Satellite Phone Rental Products and More
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.