Recent content by Hydrazin

  1. Hydrazin

    Kiti cha ofisini Arusha kinahitajika

    Husika na kichwa hapo juu, Kiti used lakini kiwe katika hali nzuri kinahitajika Arusha. Utanicheki hapa 0625934471.
  2. Hydrazin

    Story of my life

    Usisahau kununua Chandarua mkuu, unapoanza kupambana na maisha hutakiwi kuumwa.
  3. Hydrazin

    Chumba kinapangishwa Mabibo, Dar

    Aisee imebidi niangalie jukwaa kama ni la Jokes....
  4. Hydrazin

    Waliotishiwa kuuliwa na wachawi wakubwa na hawakuogopa tukutane hapa

    Daah kuna mzee mmoja huko mbeya alisumbua sana Thanks UKIMWI kuja pengine mpk leo angekuwa anaexist.
  5. Hydrazin

    Wanaume mlowaacha wake zenu kunyweni supu ntalipa

    Ofcoz sisi wanaume si watu wa kuongea madhaifu yao au yale yaliyotuumiza kwao kitu ambacho ni disadvantaged kwetu matokeo yake we die inside, ni sawasawa na ile umefiwa macho tu yanabadilika rangi hii nature yetu inatuondosha mapema, mimi yaliponikuta baada ya kiande mmoja kunipa za uso nilikuwa...
  6. Hydrazin

    INAUMA SANA

    Mdada aliimba maneno mazito sana yule
  7. Hydrazin

    Toa sababu kwa nini uliachana nae

    She said "I think uliniposses bila kujielewa" ilibidi nifanye fumigation around me kuwa pengine nina vitunguli halafu sijijui... daah yule mmarangu mchaga pekee aliyekuwa na Guu kwel life is not fair.
  8. Hydrazin

    Shetty

    Hah Hahaha!!
  9. Hydrazin

    Ulishawahi kupewa namba ya simu na demu then ikakupotea..?

    Hahaha! Then mwsho wa sku unaanza kujcheka mwenyw sehemu ulzokuwa unambwera
  10. Hydrazin

    Meza ya ofisini inahitajika

    Meza ya ofisin inahitajika hata used ili mradi iwe katika hali nzuri. Location; Arusha.
  11. Hydrazin

    Vazi la Rais Uhuru Kenyatta

    Unaaminishwa na nani?? akili zingine bhn so kesho ukiaminishwa na hao unaowaita wanakuaminisha kwamba Magufuli ni malaika then kesho ukaona vinginevyo utasema mbona tuliaminishwa kuwa yeye ni malaika!! ulishaona/kusikia wapi udikteta unapimwa kwa mavazi? hata avae vazi la kitenge daily kama...
  12. Hydrazin

    Laptop inahitajika

    Kama uko Arusha na unauza kompyuta yako mpakato njoo pm, iwe ktk hali nzuri RAM & PROCESSOR kubwa more considered.
  13. Hydrazin

    Unforgettable Memories (True story).

    Pole sana mkuu.
  14. Hydrazin

    Unforgettable Memories (True story).

    Wakumpenda tena sijapata na sidhani kama nitampata
  15. Hydrazin

    Unforgettable Memories (True story).

    Baada ya mihangaiko ya weekdays siku kama ya leo wengi wetu hujaribu kuipumzisha akili na mwili pia, wengine hupendelea kwenda maeneo tulivu kama beaches n.k lakini wengine tunapendelea kukaa majumbani mwetu na ma--bachelor wenzangu ambao tunakosa hata time ya kupika na kuishia kuwa wateja...
Back
Top Bottom