Asanteni sana wakuu.
Naenda kutembea tu. Kucheki plan B ya maisha na biashara.
Kupitia Songea inakuwa umbali gani? Na kuna boda ipi hapo Songea?
Njia ya Malawi inakuaje?
Msaada juu ya hilo jamani. Nina siku 10 tu ambazo natakiwa kujua kuofelea kwa style zote, kujifunza kuokoa na mbinu tofauti, kupiga mbizi na mengineyo.......
Habari, Mimi niko Dar, naombeni msaada hata wa kimawazo. Nafikiria kutafuta kazi ambayo nitaifanya siku ya Jumamosi na Jumapili. Bado nasoma Civil Engineering.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.