Part time job as a volunteer

Part time job as a volunteer

hybrido

Member
Joined
Nov 23, 2014
Posts
14
Reaction score
0
Habari, Mimi niko Dar, naombeni msaada hata wa kimawazo. Nafikiria kutafuta kazi ambayo nitaifanya siku ya Jumamosi na Jumapili. Bado nasoma Civil Engineering.
 
nenda forever living ndo utapata hyo kazi ya kuuza madawa!
 
wazo lako zuri tatzo hata kazi za kujitolea siku hizi ni ngumu, ila tafuta hvyo hvyo komaa nao
 
Cheki hizi organization.
VSO
Resless development
huwa wana nafasi za kujitolea na posho pia wanatoa kiasi flani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom