Recent content by Hwang jang-lee

  1. Hwang jang-lee

    JamiiForums Tanzania September 11 in american history

    sssssßsßßssssassssssßssßsssß
  2. Hwang jang-lee

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

    Kiherehere kujifanya wajuaji, ukimwambia kuna bandari ngapi ukanda huu wa bahari ya mashariki mwa Afrika kutoka Tz mpaka Ethiopia hajui.
  3. Hwang jang-lee

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

    akili yako ndogo inawezekana hata ramani ya Afrika huijui, hivi umemwelewa mleta maada? unafahamu Ethiopia na Tanzania pana umbali gani? haya mambo tumejifunza darasa la tano tu, aihitaji hata kwenda Secondary kujua umbali kati ya Ethiopia na Tz
  4. Hwang jang-lee

    JamiiForums Tanzania Muuguzi ahukumiwa kwenda Jela Miaka Mitatu kwa kufoji cheti cha Sekondari

    Hivi ile kitu wanatumia ma - sniper katika movie inapata wapi bongo na inawezakuwa kiasi gani?
  5. Hwang jang-lee

    JamiiForums Tanzania Kwa hili! Dr. Mwakyembe umejiaibisha

    Tatizo sio Mwakyembe atoe maamuzi ama kupitia mapendekezo ya kamati ya Nape. Ndugu Faru John unataka kuniaminisha kuwa wewe umesahau kilichofukuzisha kazi nape? mbona watanzania tunapenda kuzunguka ama kuwatafutia watu lawama? mbona jibu rahisi tu, ni kwamba issue ya makondo ina baraka za Jpm...
  6. Hwang jang-lee

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kukomesha mgao wa umeme

    Hata mi nilitaka kusema hivyo, huku masaki wiki yote hii umeme unakatika, tena Mara nyingine hata ukiwepo tunalazima kuwasha jenereta, kwa kuwa unakuta baadi ya vyumba vina umeme vingine havina, hasa hapa maeneo ya chole mpaka super
  7. Hwang jang-lee

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    watu wa jf mtakuja kutuua kwa vicheko, nimeondoa sumu, na kinyongo cha makomeo kwa huu Uzi. maana nilitaka kuhama nchi lkn nabaki furaha imekuja upya japi baba jescca hatabiriki kesho anaweza kunitibua nyogo tena
  8. Hwang jang-lee

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    nimecheka mpaka machozi yametoka.[emoji23]
  9. Hwang jang-lee

    JamiiForums Tanzania Ukimfahamu Makonda hutaacha kumpenda, hata wapinzani wake mkimpata mtampenda sana

    hujamwelewa, soma vizuri kwa utulivu utagundua kitu. amemponda sana ila unatakiwa uwe mwelevu kidogo kung'amua hiki alicholeta mtoa Uzi.
  10. Hwang jang-lee

    JamiiForums Tanzania Nape tulikulalamikia Bunge live, hukusikiliza

    kwa mujibu wa shilawadu wanadai eti ni mtu wa kusini mwa tz ila ana collabo na Unyakyusa[emoji2] [emoji2]
  11. Hwang jang-lee

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Hongera, mpe hi Bashite na mwanae kama anae, na kama hana jitahidi kumzalia japo kamoja.
  12. Hwang jang-lee

    JamiiForums Tanzania Ili taifa liendelee, linahitaji kiongozi mwenye msimamo, Rais Magufuli katupa somo

    Ningejua huu uzi ni wa lizaboni nisingefungua, nimejisikia vibaya sana
  13. Hwang jang-lee

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    We ndio msemaji wa makonda?
  14. Hwang jang-lee

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kumsikiliza Gwajima Na Ruge, sasa Ni wazi Mwendesha Mashtaka Wa Serikali kwenda Mahakamani

    we ni nyumba ndogo ya makonda? mbona unajitoa ufahamu kiasi hicho?
Back
Top Bottom