Recent content by Huzurungi Tz

  1. Huzurungi Tz

    Embu funguka juu ya hili wenye ng'anda

    Ahaha kwann Ubongo?
  2. Huzurungi Tz

    NIMESHAFIKA TAYARI

    Asante saana Babu [emoji120][emoji120] ila nmekuja na ugolo na alkasuswi
  3. Huzurungi Tz

    NIMESHAFIKA TAYARI

    Mbona Aisee?
  4. Huzurungi Tz

    NIMESHAFIKA TAYARI

    Asante saaana [emoji120]
  5. Huzurungi Tz

    Embu funguka juu ya hili wenye ng'anda

    Hivi Ukiambiwa Uombe Msamaha Sehemu Moja Tu Ya Mwili Wako Ambayo Unaitumikisha Saaana...,Je Utaiomba Sehem Gani?[emoji16][emoji16][emoji16]
  6. Huzurungi Tz

    Leo ni Super Human Day

    Aliwai Fanya Nini Kikubwa?
  7. Huzurungi Tz

    Leo ni Super Human Day

    [emoji122][emoji122]
  8. Huzurungi Tz

    Leo ni Super Human Day

    Leo Dunia inaadhimishwa Super Human Day ambayo ni siku maalum ya kuwatambua watu ambao ulemavu haujawazuia kufanya mambo makubwa kwenye jamii. Embu Kama Mwana Jamii Forum Embu Mtaje Mtu Mwenye Ulemavu Aliyewai/Anayefanya Mambo Makubwa Ili Wengine Wamjue.
  9. Huzurungi Tz

    GE2020 Mbeya: Tundu Lissu amshukuru Mungu kwa matendo makuu

    Sawa Ila aache kusononeka saaana na kulaumu....
  10. Huzurungi Tz

    NIMESHAFIKA TAYARI

    Hilo swala dogo saaana Ila kama kuna V.V.I.P seat ntakaaa tena kWa amani tu Mkuu...
  11. Huzurungi Tz

    NIMESHAFIKA TAYARI

    Naomba niseme kuwa mimi nimeshafika naombeni nafasi nami nitambe humu ndani...
  12. Huzurungi Tz

    Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

    Ahaaa kumbe umepigwa....,hongera saaana [emoji28][emoji28]
Back
Top Bottom