Hatufiki kwa kuwa na watu kama wewe. Unaanzisha thread, unaonyesha problem basi hata kama huna solution omba wachangiaji wanaofuata wachangie kutoa solution. Badala ya kufanya unaanza kuelekeza malalamiko na thread nzima ijae malalamiko badala ya kujaa solution.
Mkuu,
Naona itanisaidia. Kwa sasa hivi katika time zone yetu ni usiku. Hivyo nimeitunza link somewhere ili asubuhi nifuate procedures zote.
Lakini wadau wengine wasisite kunisaidia altertatives.
Wakuu,
najua baadhi yenu mnajua ninachouliza. Ni kwamba nilifungua account ya facebook lakini hatimaye sioni faida yake. Nimeamua niifunge yaani nisiwe nayo kamwe. Iwe deleted kama inawezekana.
Nifanyeje. Nitumie process zipi.
Saidia tafadahali.
Kumekuwa na wimbi kubwa la kuwalazimisha watu kuajiriwa kwa kinyume na baadhi ya haki za binadamu. Kwa mfano mtu anaitwa kwenye interview halafu huko.
Nadhani unatakiwa huu uwe wakati wa interiew zichunguzwe kama zinakidhi masharti ya kisheria hapa nchini. Kwamba interview inapofanyika basi...
JF ni democratic forum. Acha demokrasi ichukue ukweli wake. Wakati wewe huoni nilichoongea wana-JF watatu wamenipa LIKE wakati wewe huna hata moja hadi dakika hii.
hebu tujiulize watanzania. Mtu akikunyooshea kidole kimoja cha shahada huwa inamaanisha nini? Binafsi huwa ninaona ishara hiyo hutolewa na mtu akikasirika kwa maana ya kumtukana. Kuna tofauti gani na kusema "wewe unatiwa nini? au "wewe unakazwa nini?", au "wewe unafanywa nini?",. Hivi ukiambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.