Recent content by hussein wajohari

  1. hussein wajohari

    JamiiForums Tanzania Msaada anayekifahamu chuo cha Nyamwezi TTC

    naomba kujua kama mtu yoyote anakijua chuo cha nyamwezi ttc na kikoje ktk kozi kozi ya ualimu wa shule za msingi na maana mazingira yake,ufundishaji, na vitu vingine,,
  2. hussein wajohari

    JamiiForums Tanzania Je musoma utalii collage ipo vizuri ktk kozi ya ualimu ngazi ya cheti???

    Naomba kuuliza jamani hivi musoma utalii collage ipo vizuri ktk kozi ya ualimu ngazi ya cheti???
  3. hussein wajohari

    JamiiForums Tanzania Je namba za simu za NACTE zinapatikana muda wote?

    Jamani naomba mnisaidie,,,, hivi nacte unaweza kupiga namba zao za sim mda wowote ukawapata ? Au wana muda wao maalumu ?
  4. hussein wajohari

    JamiiForums Tanzania Nishaurini: Nilipata division 3 kidato cha nne, nataka kurudia mtihani

    Unajua rizki ya mtu anaijua mungu usikate tamaa mi nakushauri utafute chuo na uchague kozi inayo endana na majibu yako
  5. hussein wajohari

    JamiiForums Tanzania Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    Jamani kwa anaejua,,,,,,,, post za chuo zinatoka lini ?
  6. hussein wajohari

    JamiiForums Tanzania Dada zetu tazameni shepu zenu ndio mvae baadhi ya nguo

    I think wanakupata vizuri
Back
Top Bottom