Recent content by Hussein omari

  1. Hussein omari

    Naomba msaada wadau bei ya TVS MAX 125 au TVS ZT 125

    Habari Comradez. Naomba msaada kama kuna mtu anafahamu bei ya moja wapo ya hizo pikipiki kutoka TVS. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Hussein omari

    Natakiwa niwe na ufaulu wa kiasi gani wa shahada ili niweze kusoma shahada ya uzamili?

    Please msaada wadau wa elimu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Hussein omari

    Msaada namna ya kubadili bachelor degree ya biashara uwe mwalimu

    Habari wakubwa........? Naomba msaada namna ya ku badili degree nyingine ili ziwe kama bachelor of education. Examples BAAF, LLB and others
  4. Hussein omari

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta nyimbo ya matonya ile anaimba tonya mimi matonya gani nasikika maredioni nayarumba barabarani. Ipo katika album ya Dunia mapito
  5. Hussein omari

    Jino la juu acha kabisa.

    Habari wakubwa.? Jino lanisumbua Sana nakosa raha kabisa! Please tupeane msaada na maelezo pia mana nimetoa juzi na Leo mawili yanasumbua tena nini tiba ya hili?
  6. Hussein omari

    Biashara ya korosho

    Bei dira ya korosho na uelekeo wa biashara iyo
Back
Top Bottom