Recent content by Hussein Msaye

  1. H

    Looking for Assistant Accountant/Stock Controller

    Anachafua Sifa Za A/c Asissantant.
  2. H

    Nini lengo la HR anapokuuliza hili swali?

    Nakuomba Usije Ukamjibu Swali Hilo Kwa Sababu Yenye Ndiyo Anakuajili Jambo La Kwanza Utamwambiya No Answer, Jambo La Pili Utamuuliza Swali Je Utaniweka Ktk Position Ngn Pindi Utakapo Niajiri, Tatu Unamwambia Najua Ww Ndyo Mwaajiri Unafahamu Link Za Mshahara Ktk Kampuni, Organazation Yako Ktk...
  3. H

    Maswali kwa Watendaji wa Kata, PSRS

    Taja Sifa Za Mtendaji Wa Kata, Taja Muundo Wa Serikali Ya Kijiji, Taja Muundo Wa Serikali, Kwanini Umeomba Nafasi Hii, Unawezaje Kutatua Migongoro Ktk Kata Yako, Taja Mambo Ambayo Yanaweza Kukuleteya Mgongoro Kata Yako, Kazi Za Mtendaji Kata, Vikao Vya Halmashauri Uwa...
  4. H

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi vs Kampuni Mpya ya Mawasiliano

    Nenda Kwenye Kampuni Ya Wakimbizi, Hawo Halotel/viettel Wababaishaji Sana Mm Nimisha Fanya Nawo Usaili Zaidi Ya Mara Tano Mikowa Mitatu Tofauti.
  5. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    jaman naomba kuuliza je wenye fani husika walio tumia shahada, stashada, na astashada wanaitwa lini usaili
  6. H

    Nafasi za Kazi: Secretary na Assistant Accountant

    Email Yenu Mbona Aionekani, Alafu Mtu Mwenye Stashahada Je
  7. H

    Natafuta kazi, nina Shahada ya Maendeleo ya Jamii

    Almashauri Ya Tabora Manispaa Wametoa Ajara Nyingi Sana Dada Joyce Chanzo Cha Taarifa Gazeti La Mwananchi.Co.Tz, Agost 06, 2015, Na Website Ya Ajira Zetu Pia Kuna Almashauri Nyingi Tu Kama Ikungi, Singida, Maomba, Msalala, n.k
  8. H

    Ajira Kwanza Vs Elimu Kwanza!

    Nakuomba Utowe Sera Zako Siku Zote Ata Ukuwa Unamtongoza Mwanamke Ukimponda Mwanaume Mwenzako Umempatiya Yule Mwanya Wa Kukubalika Ni Sawa Na Wewe Unapo Ponda Sera Ya Lowassa Auwezi Kupata Ajira Bila Elimu, Auwezi Kupata Wataalamu Bora Tz Bila Kuwapatiya Elimu Bora, Tz Ipo Nyuma Sana Ktk Soko La...
  9. H

    Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Safari Ya Matumaini, Akika Lowassa Ni Rais Nilikuwa Ctaki Kupinga Kura Mwaka Huu Lazima Nipinge Kura Yng Lowassa Oyeee
  10. H

    Nafasi za intern kwa waliosoma accounts

    Nimeliona Tangazo Leo Je Nikituma Kesho Maombi Hayo Itaku Sawiya Naomben Mnijibu Ndg Zangu Jf
  11. H

    Nafasi za kazi, duka la vifaa vya magari

    Sanduku La Posta Ktk Duka la Vifaa Vyamagari Sijaiona Hapo 2naomben
  12. H

    Siri ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya yavuja

    Nampongeza Ofisi Ya Rais Kumtoa Mkuu Wa Wilaya Ya Igunga Akuna Alicho Kifanya Bali Alikuwa Anarudisha Nyuma Maendeleo Kutokuwepo Kwa Mda Mrefu Umeme Na Maji Ktk Mji Huwo
Back
Top Bottom