Natafuta kazi, nina Shahada ya Maendeleo ya Jamii

Natafuta kazi, nina Shahada ya Maendeleo ya Jamii

alicey

Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
13
Reaction score
0
Mimi ni msichana Nina umri wa miaka 25, elimu Yangu ni shahada ya Maendeleo ya Jamii, ninauzoefu pia wakufanya kazi na jamii hasa kijijini.

Sichagui kazi kwani ninakipaji cha kusuka kwahiyo hata saluni Niko vizuri, msaada wadau
 
Almashauri Ya Tabora Manispaa Wametoa Ajara Nyingi Sana Dada Joyce Chanzo Cha Taarifa Gazeti La Mwananchi.Co.Tz, Agost 06, 2015, Na Website Ya Ajira Zetu Pia Kuna Almashauri Nyingi Tu Kama Ikungi, Singida, Maomba, Msalala, n.k
 
mdada jaribu kuwa mbunifu. buni kitu kinachoeleweka alafu nipm tuone tunasaidiana vipi katika kitu ulichobuni.
 
Ungekuwa Dsm hapo sawa maana kuna kazi nyingi pale posta mpya maeneo ya YWCA njoo na cv zako tu.
 
Je kazi ya kusaga alizeti unaweza kama unaweza chek me on 0673115085 nkupe ramani!
 
nna shahada kama wewe na kusuka najua so nimefungua saluni yango tu no stress anymore. Fungua sehem ya kusukia
 
Mimi ni msichana Nina umri wa miaka 25, elimu Yangu ni shahada ya Maendeleo ya Jamii, ninauzoefu pia wakufanya kazi na jamii hasa kijijini.

Sichagui kazi kwani ninakipaji cha kusuka kwahiyo hata saluni Niko vizuri, msaada w
 
omba kazi halmashauri ya JJ LA arusha kuna post 46 wanahitajka wenye elm kama yko
 
pIa ninadeploma ya maendeleo ya jamii kama tunaweza kukutana da alic nawazo la kujiajil wenyew mean kupata watu kushauriana na,kufungua,NGOs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom