Nafasi za kazi, duka la vifaa vya magari

bitebo7

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2015
Posts
858
Reaction score
601
Katika pita pita zangu nimeikuta hii nikaona sio mbaya kushea nanyi ndugu zangu
Duka la vifaa vya magari,wanahitaji wafanya kazi wenye fani zifuatazo
1.Accountant
2.Secretary
3.Business administrator
4.Clearing&forwading
Sifa za muombaji awe na elimu kuanzia dilpoma kulingana na fani zilizoainishwa hapo juu
Ofisi zipo posta mpya
Maombi pamoja na CV yatumwe kupitia email ifuatayo europetz@gmail.com
Mwisho wa kutuma maombi ni 6/6/2015
Kuhusu majibu,utapigiwa simu kwa namba yako uliyoiandika kwenye cv yako
 
asante
 
Back
Top Bottom