Recent content by Hussein mkenaguzi

  1. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Tanzania Waislam Milioni 10 Kila Mwaka hubadili Dini na Kuwa Wakristo

    Alikuwa msikitini au kanisani?
  2. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu Kama ni Kusherehekea, Hili limezidi

    Astghfiru-llaahu
  3. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu Kama ni Kusherehekea, Hili limezidi

    Jamii (hiyo)Ina copy style ya kusherehekea kutoka nje ya uislamu. Nje ya islamu sherehe ni; kuzurura,kuvaa mavazi zipendazo nafsi zao (sio Sheria),Kula na kunywa ( hata vilivyohara mishwa), miziki na......na...
  4. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

    Vizuri sana, ndivyo itakiwavyo. Sio mnakaa kufikiri uzinzi kwa lugha ya kutest! Blaali fish nyie,mwisho wa siku mtapata watoto wa kike. Watestiwe (waziniwe) zamu kwa zamu,kisingizio cha kutaka kuoa. Kila siku mnakuja na propaganda za uzinzi chungu nzima. Yakiwakuta mtulie tu.
  5. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Tanzania Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    Mie machozi yanalengalenga....natamani kupasua mtu kichwa! Duuh! Nchi hiiiiiiii!
  6. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Tanzania Boflo yapanda bei Zanzibar

    Umenikumbusha mbaali sana! Mkate wa siha toka National milling,Dar. miaka ya 80 hivi.
  7. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Tanzania Je, ni dhambi kwa Mlokole kufanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza pombe?

    Mlokole ndio mtu wa namna gani? Tuanze na hapo kabla ya kuanza kutoa maoni.
  8. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchukia mke wangu

    Ukisema uliokwisha zini nao badala ya kutembea nao....ingesound vizuri!
  9. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

    Tofauti niliyoina katika ujumbe wako ni harufu ya uzinzi! Lakini nimenusa harufu ya kuwaambia walioowa waowe mpaka wanne (kama hali ya uchumi na afya inaruhusu ili yasiwakute hayo bali wapate confidence
  10. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wanajiendekeza au?

    Wazinzi katika ubora wao!
  11. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wanajiendekeza au?

    Mahari.....blalifish
  12. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kumfikisha mwanamke Kileleni (Mfanye mwanamke wako akojoe kwanza kabla yako)

    Utaalamu wa uzinifu au?
  13. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanzangu, pesa ndio itakufanya kupata mke yeyote unayemtaka na hata kuwa nao kumi

    Kelele za kutafuta pesa zimekuwa too much! Tuambieni tujue.....kiwango stahiki ni sh. Ngapi au ni mali ipi umiliki na yepi hayatakukuta endapo utamiliki pesa/ mali kiasi hicho. Mmesikia nyie? Aah,mnachosha!
  14. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepanga kuoa msichana aliyenizidi kuanzia miaka 7 mpaka 10.

    K Kieleze hicho ulichokifikiria sana,tuanzie hapo!
  15. Hussein mkenaguzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu anamuita mke wangu “wewe”; inaleta mtafaruku

    Kwanini unamuita mke hali ya kuwa hujafunga naye ndoa? Ni sawa kabisa amuite hivyo kwa sababu ni hawara yako! Blalifish
Back
Top Bottom