Nimepanga kuoa msichana aliyenizidi kuanzia miaka 7 mpaka 10.

binafsi huwa napenda sana mke wangu anizidi umri, ila comments za 'wanawake wanazeeka mapema' ndo huwa zinani katisha tamaa ..
 
Unataka tupingane na maamuzi yako? maadam umeamua we wowa tuna ukitaka michango tutakuchangia na harusini tutakuja.

Kama hutajali tuambie sababu za uamuzi wako!
 
K
Wanajamvi habarini! Natumai mpo sawa waziii?

Naomba niende kwenye mada, mimi ni kijana ambaye bado natafuta na nimefanikiwa kiasi cha kuoa.

Ninataka kuoa mtu mzima, je, nitakuwa nakosea? Nimefikira sana uamuzi huu!
Kieleze hicho ulichokifikiria sana,tuanzie hapo!
 
Wanajamvi habarini! Natumai mpo sawa waziii?

Naomba niende kwenye mada, mimi ni kijana ambaye bado natafuta na nimefanikiwa kiasi cha kuoa.

Ninataka kuoa mtu mzima, je, nitakuwa nakosea? Nimefikira sana uamuzi huu!
Kuna kijana wa miaka 21 alianzisha thread hapa anahisi kusalitiwa ila hana ushahidi.
Mawakili wa mapenzi upande wa utetezi walipohoji maswali magumu akaeleza kuwa huyo mwanamke amemzidi miaka minne.
Ukiusoa huo uzi utakuwa msaada kwako.
 
Sasa si ndio mpaka ajichakaze, ila kama anajua kujitunza mbona fresh tu ..

Dah.. tatizo la wanawake wengi wa kibongo bana hapo kwenye kujitunza ni mtihani asikuambie mtu. Mdada ukishamuweka ndani tena ukute mambo yako kidogo alhamdullilah, anapata tu kuku kuku, soseji, maziwa, vikeki keki, blue band, ice cream, soda zipo kwenye friji aisee ndani ya miaka miwili - mitatu utamsahau. Anakua mmama yaani utashangaa ukiongozana nae watu wanamsalimia shkamoo wewe unaambiwa oya vipi mwana..?
 
dah hapo sasa itabidi kumjengea tabia ya kufanya mazoezi ..
 
Wanajamvi habarini! Natumai mpo sawa waziii?

Naomba niende kwenye mada, mimi ni kijana ambaye bado natafuta na nimefanikiwa kiasi cha kuoa.

Ninataka kuoa mtu mzima, je, nitakuwa nakosea? Nimefikira sana uamuzi huu!
Aaa mzee mwenzangu tule maisha kwanza bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom