Recent content by Hussein Kiula

  1. H

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Unajua masawe hapo kuna story mbili tofauti japo zinaendana kupata story moja. Hebu jikite kwenye story ya magafu halafu baadae uje na story ya mahusiano yako ww na merry namna yalivyoanza mpaka mwisho,maana kwenye story ya merry kuna mambo muhimu umeyaacha na hivyo kuathiri mtiririko mzima wa...
  2. H

    Karibu nyumbani Dkt. Slaa

    Majuzi nimeona video clip mitandaoni ikimunesha Dkt. Slaa akihutubia kundi kubwa la wananchi mjini karatu huku pembeni kukiwa na bendera ya chadema ikipepea pembezoni. Dkt. Slaa alisisitiza umuhimu wa katiba mpya na kufafanu ubora wa sera za CHADEMA Pia aliwaomba wananchi kutoichagua CCM kwa...
  3. H

    Wote humu wanaotoa taarifa ya hali ya vita kwa Ukraine inapata mafanikio ni uongo mtupu, wanasukumwa zaidi na ushabiki

    Zelensky alianza na mbinu za kishamba eti wanajeshi wake wakishambuliwa wakajifiche kwenye makazi ya raia ionekane urusi anashambulia raia. Baada ya mwanaume wa shoka(Putin)kugundua hilo alitoa wito kwa raia ukraine kuhama mara moja na alisimamisha operation kwa siku kadhaa kupisha zoezi hilo...
  4. H

    Operation ya Urusi dhidi ya Ukraine yafanikiwa kwa kiasi kikubwa

    Hii ni baada ya kutwaa karibu majimbo manne ya kimkakati ambayo ndo yalikuwa yanashikilia uchumi wa ukraine kwa kiasi kikubwa. Wiki jana urusi ilitangaza kuyatwaa wajimbo hayo kupitia kura ya maoni ambapo urusi ilipata ushindi wa kishindo kwa wananchi wa maeneo hayo kukubali kuwa chini ya milki...
  5. H

    Mzee Lowassa wapi jamani, mbona kimya sana

    Ni kweli kuna kipindi nilisikia ni mgonjwa na alifanyiwa operesheni ya tumbo ila imekuwa muda kidogo kwa sasa nafikiri atakuwa kishapona.
  6. H

    Mzee Lowassa wapi jamani, mbona kimya sana

    Nauliza mzee Lowassa yupo wapi? Mbona hatumsikii kabisa. Tumezoea kumuona mzee Lowassa akitoa maoni yake kuhusu mwenendo wa Serikali aidha kukosoa au kusifia lakini amekuwa kimya muda mrefu sijui yupo wapi?
  7. H

    Cheo cha Unaibu Waziri Mkuu kwa Mrema ambacho hakipo Kikatiba ilikuwa ni kuvishwa kilemba cha ukoka

    Ikumbukwe mzee mrema amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini zikiwemo waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu. Sielewi mamlaka ya kwa kufanya teuzi zenye vyeo ambavyo havipo kikatiba, lakini mzee alihudumu kama naibu waziri mkuu na alipewa heshima kwa cheo hicho. Je, Rais alivunja...
  8. H

    Hela haramu za vigogo Uswisi: Kama ana ubavu JK afanye kama alivyofanya kwa wezi wa EPA

    hana huo ubavu eti leo anasema kuna joka kubwa ndani ya ccm lenye ndimi mbili sasa si alitaje joka lenyewe ni nani fumbo mfumbie mjinga mwerevu atalinga'mua
Back
Top Bottom