Recent content by hussein boxer

  1. hussein boxer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naishi na binti ambaye kwao hawajawahi kuniona ila wananisikia tu kupitia binti yao

    Mkuu hata mimi naona nitaingia kwenye story kama yako maana nipo arusha nakula beki 3 ambaye kwako ni Musoma na ana dalili zote za kuacha kazi nakuja kuishi kwangu
  2. hussein boxer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

    Hata Mimi niliwahi kuambiwa hivyo ila mpaka sasa yupo single na hajaolewa nilimuambia aache kuringia tako maana akifa inaagwa sura na sio tako
  3. hussein boxer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa Kum - block na kum - unblock X (mpenzi wa zamani) moja kwa moja

    Mblocku halafu utamtunza moto na hiyo block
  4. hussein boxer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

    Hata Mimi sitokaa nioe mwanamke wa kinyiramba au mnyaturu wanadharau Sana halafu wajeuri Sana wanamajibu ya hovyo Sana kiasi unaweza kuchapa makofi muda wowote bila kukusudia
  5. hussein boxer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kufunga ndoa na mwanamke aliyenizidi miaka 8?

    Kama hauna furaha na amani ukiwa nae usimuoe
  6. hussein boxer

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Hakuna alietajirika kwa kucheza Kamari

    Watu wanapiga pesa hatuwezi kuacha kubeti
  7. hussein boxer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume oeni yatima, hamtojutia

    Inategemea na huyo yatima mwenyewe
  8. hussein boxer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

    Mpe kijana utamu wako
  9. hussein boxer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

    Muache amle mkeo ili ushahidi ukamilike
  10. hussein boxer

    JamiiForums Tanzania Nimeingia ndani ya mwili wa mke wangu kimiujiza

    Tumepigwa na kitu kizito
  11. hussein boxer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

    Hapana aliondoka mwenyewe anataka kurudi ila na Mimi simuhitaji tena
  12. hussein boxer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

    Mrejesho ni kwamba mtoto alivyofikisha miaka miwili alisepa ila jamaa aliyempa ujauzito alifariki mtoto akiwa na miaka miwili, kwa Sasa tangu aondoke mwaka 2019 ndio anataka kurudi na Mimi simtaki tena japo sijaoa tena ila na mtu mwingine
  13. hussein boxer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu alirudi kwa ex wake siku ya ndoa yangu

    Piga chini huyo malaya
  14. hussein boxer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mahusiano na mwanamke fulani, lakini kauli hii aliyoitoa mzazi wangu inanipa wasiwasi kwenda kumtambulisha

    Tatizo la singo maza hawaachagi mawasiliano na aliyemzalisha, Kama aliyemzalisha bado yupo hai usioe
  15. hussein boxer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa rafiki yangu nimempenda sana, vipi wahuni nimlambe?

    Tafuta wa kwako
Back
Top Bottom