Mimi nilitokewa na tukio tofauti na lako. Nilitoa elfu 10 akate mia 500 sasa akaniambia huna hela ndogo nikamwambia sina ninayo iyo iyo, jamaa akakasirika eti kwanini nimetoa hela kubwa akanirudishia hela yangu huku kanuna kinoma.
Mm nikanyamaza kama vile hakijatokea chochote sasa msala ukaja...
Mkuu kunakuwaga na sababu za kiroho ndio sababisho lakini sio bangi kama bangi .uwenda alichezewa kwanza kabla maana asipoxhezewa mtu huwa haanzi tu moja kwa moja mpaka awe ivyo ila kunakuwaga na yasiri yaliyosababisha hasa wale ambao unakuta walikuwa vizuri sana kielimu.
Ila sasa sababu anavuta...
Ila kunakitu Michael amekikosea hasa kuhusu urithi yule jamaa karushwa utajiri wake kwa kuwa na watoto ambao sio damu yake ambao wamerithi Mali zake wakati sio damu yake ni uongo tu wa kumpa heshima kuwa ana familia
Jamaa ni waongo juu kuna maji hakuna njia ya kutoka kwa juu ila zipo njia za kwenye maji na nchi kavu moja ya njia kuu ipo Antarctica lkn mungu kaweka geti pale kuna ice wall
Kama mlikagua vitu vikawa fresh kisha ukapigiwa na jamaa yako akakwambia kuna kilichozingua, na pia ulimsalimia hakukuitikia pamoja na kukuongelea vibaya, iyo ni ishara kabisa ya kuwa kunawivu mkubwa alikuwa anakuonea wewe juu ya mafanikio yako na ndio sababu ya hayo uliyonayo sasa.
Pengine ni...
Mungu katuleta duniani ili kututahini, anataka aone yupi anamatendo mazuri zaidi ya mwenzake.
Pia akaweka kifo, kwamba ukifa ndio mwisho wa mtihani wako.
Katupa uhuru wakuchagua chochote tunachotaka na pia akatubainishia mema na mabaya. KAJAALIA MEMA KUWA MAGUMU NA MABAYA KUWA MEPESI. Yote ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.