Recent content by HURUMZI

  1. HURUMZI

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu ambaye amewahi kusifiwa na wahindi kama mchapakazi

    Umeajiriwa dukani unatumwa mpaka nyumbani.Huko nyumbani isidhanie kuwa unatumwa vitu vya thamani ni kupewa taka ukatupe au kufyagia basi. kuna siku nipo dukani nkaitwa store kupanga mzigo na kufyagia,nkatumia nguvu nyingi nimalize haraka haraka nipate kupumzika.daah heyyy kumaliza kufagia...
  2. HURUMZI

    JamiiForums Tanzania Taaluma ya masuala ya sumu(Toxicology) inasema hivi.....

    i Itakua anakuiga wewe
  3. HURUMZI

    JamiiForums Tanzania 2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    hata mimi nafikiria hivyo,wabaguzi wale hawatakanyaga uwanja
  4. HURUMZI

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya wanyama na muda, mfano jogoo?

    kabisa mkuu na jibu lipo ila wengi hawataamini
  5. HURUMZI

    JamiiForums Tanzania Sababu 3 Kwanini Magufuli Anatumia Kiswahili kwa Wageni na Ngambo... na maana yake kwetu...

    Ni matumizi ya akili kwanza katika utaalam baada ya hapo utaalam unaingizwa katika lugha husika. Hakuna lugha husika ya kitaalam bali lugha yenye msamiati mengi aidha huingizwa taaluma.
  6. HURUMZI

    JamiiForums Tanzania Muwe mna google wadau kupata information.Yaani sometime mnatunyonya sana

    Mliosoma miaka hiyo baadhi yao huwa mnajiskia sana,jambo dogo tu mnalipizia mateso yenu yote mliyoyapata mlipokua mkitafuta. Ila ni kweli kizazi hiki ni shida na mateso na ukijaribu kukosoa unaonekana wewe ni mkorofi na utatengwa.
  7. HURUMZI

    JamiiForums Tanzania Jinsi Nilivyofedheheka "nikaropoka kichizi bachela ofu masta"

    Ndio hufanya hivyo nkijiskia kuvuta usingiz baadhi ya wakati. Hapa kuna page moya inasema "Kila mwanamke anajaribu kujikataa" na kufafanuliwa kwa ufupi kuwa Wanaojiremba kupindukia hushindwa uhusiano
  8. HURUMZI

    JamiiForums Tanzania Jinsi Nilivyofedheheka "nikaropoka kichizi bachela ofu masta"

    Nilipoona kichwa cha habari tu,nkajua itakua JITAMBUE. Haya magazeti mnayo mpaka leo ingawa yamechanikachanika.
  9. HURUMZI

    JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa amuahidi Rais Magufuli kwamba atachukua Walimu wa Kiswahili toka Tanzania

    wakoloni walipendekeza lahaja ya Unguja mjini iwe ndio kiswahili sanifu,kwani hakina mkwaruzo mingi kwa kuandika na kukitamka,vile vile kenya ulkua ni sehemu katika sehemu ya zanzibar ambapo lahaja ya Mombasa inashabihiana na lahaja ya Unguja mjini.
  10. HURUMZI

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata casio watch kama hizi?

    Zanzibar zipo nyingi duka la MUZZAMIL maeneo ya darajani,napita kuulizia bei
  11. HURUMZI

    JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa amuahidi Rais Magufuli kwamba atachukua Walimu wa Kiswahili toka Tanzania

    Itakua watu wamekimbia matumizi ya "R" na "L"ambapo katika uandishi na utamkaji yanapishana.
  12. HURUMZI

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

  13. HURUMZI

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

    e Kuna mungu wengi,wa kihindi,wa budha nk umekusudia gani mkuu? Kama ELIMU vile ilivyo ya kila aina chemisry,biology,math nk. Elimu nilokusudia ni Elimu ya dini mkuu na mungu nilikusudia ni Mungu muumba wa mbingu na ardhi mkuu. Dini ni utaratibu aufatao kiumbe kilicho hai katika maisha ya...
Back
Top Bottom