Recent content by Huruma siyo malezi

  1. Huruma siyo malezi

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

    mbona wenye mda wakutosha tumetoswa mpaka mioyo imeota sugu
  2. Huruma siyo malezi

    JamiiForums Tanzania Natafuta Marafiki wa kike

    Hawa viumbe huwa wananusa hali yako ya kiuchumi, boresha pochi yako mwalimu utachoka mwenyewe
  3. Huruma siyo malezi

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kama kutakuwa na dereva ambaye hanisikizi, familia yake itamsahau

    Nchi hii kila kiongozi anajiamulia Jambo lake tu
  4. Huruma siyo malezi

    JamiiForums Tanzania Kesho Lema anaenda kujimaliza kisiasa na press yake kama anajiona anaukubwa huo nje ya Chadema kesho ndo utakua mwisho wake

    Hatimae Lema amekuwa USB badala ya kichwa, inaskitisha sana
  5. Huruma siyo malezi

    JamiiForums Tanzania Wanaume tumekuwa na malalamiko mengi sana dhidi ya wanawake, nini kifanyike?

    Ni udogo wa fikra zetu wanaume kuendekeza Sana chini, kila mda ikisimama unataka kuweka
  6. Huruma siyo malezi

    JamiiForums Tanzania Lulu Diva: Sivutiwi na wanaume walio zaidi ya miaka 27, msinishauri

    hivi ndiye aliyedai mahari millions 500, sasa kijana wa umri huo hiyo pesa anapata wapi
  7. Huruma siyo malezi

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu,Naomba amani tuliyonayo tuilinde kwa nguvu zetu zote

    mithali 28:16 mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu Sana, badala ya kuwaunganisha watu kuwa pamoja huwagawa kwa mikono yake mwenyew
  8. Huruma siyo malezi

    JamiiForums Tanzania Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

    Hilo wewe wasema
  9. Huruma siyo malezi

    JamiiForums Tanzania Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

    polisi anasimamisha kila daladala anaitwa konda badala ya dereva, wewe kwa ufaham wako kondakta unamkagua kitu gani mhimu kwa usalama wa chombo na abiria wake?
  10. Huruma siyo malezi

    JamiiForums Tanzania Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

    Hatufiki kwa hiari yetu, mithali 29 :27 mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki
  11. Huruma siyo malezi

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu mnaonunua malaya mnawezaje? Mbona mimi kila nikijaribu nashindwa

    siyo kitu cha kujivunia, ukipata mtu uoe, kununua Malaya tulifanya kama emergency door
Back
Top Bottom