Ndugu zangu, watu wengi tunapenda kujiendeleza kimasomo, yaani elimu ya juu. Hivi hakuna organization tofauti na loan board inayotoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo au mtu ambae mtaingia nae mkataba wa kumlipa baada ya masomo up to 100% interest kama akigharamia masomo yako mpaka ukamaliza...
Sorry wapendwa, mi sio mtaalam sana wa mambo ya ujasiliamali ila nlikuwa naomba mniambie ujasiliamali unafaida gani na unawezaje kuwa mjasiliamali?????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.