Kwa mtindo huu, mtu mwenye akili timamu hatakuwa radhi kujiunga na uislamu. Huku ni kubomoa badala ya kujenga, ikiwa mimi sina dini nitaamua kuifuata DINI INAYOHUBIRI HERI badala ya DINI INAYOHUBIRI SHARI, malalamiko yasiyoisha, kujitoa mhanga n.k. Mwenye akili timamu na ufahamu sahihi atajua...
Ukweli ni kwamba Mungu aliye hai huwapigania kiume walio upande wake. Jeshi la farao lilipowafuatilia wana wa Israel liliishia kuzama kwenye maji. Kupambana kwetu si juu ya damu na nyama.........sisi tunaomba na kuamini Jemedari anafanya kazi yake, na tunauona wokovu mkuu wa Bwana.
EL kawa tu mmojawapo wa kafara wa ufisadi. Ukweli ni kwamba ccm haina nia ya dhati kupambana na ufisadi kwa sababu the ccm system is corrupt. Kama ukweli upo si achukuliwe hatua....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.