Seminari za Kiislamu na mafunzo ya Kareti, kuna nini?

Status
Not open for further replies.
Gazeti la Mwananchi uk 7, leo kuna picha ikiwaonyesha wanafunzi wa Seminary ya Markaz wakicheza karti wakati wa Mahafali ya Form 4.
Kwa muda sasa imekuwa ikidaiwa kuna Misikiti kadhaa, Waumini hupatiwa mafunzo hayo baada ya swala za maghreb, madai hayo yamekuwa yakiambatana na madai kuwa hayo ni maandalizi kwa ajili ya siku itakapotokea vita kati ya Waislamu na Wakristo.
Najiuliza, mafunzo hayo ya kareti hadi Misikitini, yana nia gani?
Acha unafiki na uchonganishi, nina imani hujatumwa na kanisa
 
Ningeona ajabu usingechangia na usingekua negative!huna sifa ya kuwa mhamasishaji wa cdm wakat upo negative hivyo na imani za watu fulani,nyinyi ndo mnaipa nguvu kauli ya ccm kwamba cdm ni chama cha kidini,asilimia kubwa ya wale wanaokua positive na cdm ndio walewale mnaokua negative na uislamu.
Hamtutendei haki wapenzi wengine wa mageuzi tunaoamini angalau cdm ina leta mwangaza.
Kama kupinga matendo maovu ya kigaidi kama yale ya Boko Haram na Al qaeda ndio kuupinga Uislamu basi nihesabu mimi rasmi kama adui namba moja wa Uislamu.

Ufuasi wako wa Chadema ni itikadi yako, nothing to do with Religion, nani alikudanganya mimi ni Mwanachama wa Chadema? au unadhani kila anayeipinga CCM ni Chadema?

Ningekuwa na mawazo kama yako mimi ningekuwa MwanaCCM mwaminifu kwani it is clear kwamba CCM for Christian & Muslim for CCM. Hili wala halihitaji Degree kulifahamu.

Ugaidi kwa karate wapi na wapi?
Dini na Karate wapi na wapi?

alqaeda.jpg
 
Barubaru hapo umeuliza jibu lako ya kuwa unapenda mauaji ya albino, uchunaji wa ngozi na kuua vikongwe vifanyike Tanzania.

Nakushauri uje hapa Tanzania kuna mji unaoitwa Dodoma na hapo kuna Hospital inaitwa Mirembe. Nadhani utapata huduma nzuri tu na utapona.

Njia nzuri kuliko zote soma hapo chini kuhusu wokovu

Na ndio wanaongoza kwa kuchuna ngozi, kukata viungo vya albino na kuuwa vikongwe.

Na ukisoma Mathayo 7:21-23 , Bw yesu alisema
21
Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
23
Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.

Ni kweli karibu shule zote za Kiisalam lazima mazoezi ya Karate na Judo yawepo, wanawaweka wanafunzi fiti
Hebu Cheki hapa, nimejaribu kutumia Final Cut Pro X kwenye Apple OSX hivyo quality sio nzuri kwa kuwa haikusupport AVCHD format ya .MTS

[video=youtube_share;IsXOS_1W6WA]http://youtu.be/IsXOS_1W6WA[/video]
 
Mi niko karibu na msikiti na huo msikiti una shule ya msi
ngi na chekechea, huwa watoto wadogo wanafundishwa karate na hapo shuleni hamna mchezo mwingine. Nikajaribu kudadisi kwa kina watoto wakaniambia huwa hawaruhusiwi kucheza michezo mingine kama mpira wa miguu au netboll kwani michezo hiyo ni ya kikristo niliishiwa nguvu!
 
Karate is mbinu ya self defence ya karne hizo isikutishe! Mapambano yanayokuja Tanzania ya leo ni ya akili zaidi, una ujuzi gani? una ubunifu kiwango gani katika kukabiliana na mabadiliko ya kidunia hasa ya kiteknolojia na teknohama!
 
Mi niko karibu na msikiti na huo msikiti una shule ya msi
ngi na chekechea, huwa watoto wadogo wanafundishwa karate na hapo shuleni hamna mchezo mwingine. Nikajaribu kudadisi kwa kina watoto wakaniambia huwa hawaruhusiwi kucheza michezo mingine kama mpira wa miguu au netboll kwani michezo hiyo ni ya kikristo niliishiwa nguvu!
 
Gazeti la Mwananchi uk 7, leo kuna picha ikiwaonyesha wanafunzi wa Seminary ya Markaz wakicheza karti wakati wa Mahafali ya Form 4.
Kwa muda sasa imekuwa ikidaiwa kuna Misikiti kadhaa, Waumini hupatiwa mafunzo hayo baada ya swala za maghreb, madai hayo yamekuwa yakiambatana na madai kuwa hayo ni maandalizi kwa ajili ya siku itakapotokea vita kati ya Waislamu na Wakristo.
Najiuliza, mafunzo hayo ya kareti hadi Misikitini, yana nia gani?

Mbona bado sana mkuu yaan tegemea mauza uza kibao kutoka kwa hawa jamaa!...Muda c mrefu utaskia kigezo cha usheikh awe na Mkanda mwekundu wa Karate!
 
Nikuonyesha kipaji walivyotunukiwa.Au wewe unataka waimbe tu kwenye mahafali ndo ulichozoea kuona.Tumia kichwa kufikiri sio kufugia nywele

Na Misikitini baada ya swala za jioni, mafunzo ya kareti huwa ni maonyesho gani?
 
Ukweli ni kwamba Mungu aliye hai huwapigania kiume walio upande wake. Jeshi la farao lilipowafuatilia wana wa Israel liliishia kuzama kwenye maji. Kupambana kwetu si juu ya damu na nyama.........sisi tunaomba na kuamini Jemedari anafanya kazi yake, na tunauona wokovu mkuu wa Bwana.
 
Waache wajiandae sisi hatujiandai kwa vita ya nyama bali vita ya roho. Wakati ukifika sisi tutawapiga kwa manati tu kama Daudi alivyomshinda Goriath.
Waache wajinga wajiandae kwa vita ambayo haipo wakati sisi tunapiga shule na mwisho wa siku ikija kwenye ajira hatuulizi vyeti vya karate bali vya taaluma ya duniani. Poleni sana Mungu awasamehe coz hamjui mlitendalo.
 
Ni kweli karibu shule zote za Kiisalam lazima mazoezi ya Karate na Judo yawepo, wanawaweka wanafunzi fiti
Hebu Cheki hapa, nimejaribu kutumia Final Cut Pro X kwenye Apple OSX hivyo quality sio nzuri kwa kuwa haikusupport AVCHD format ya .MTS

[video=youtube_share;IsXOS_1W6WA]http://youtu.be/IsXOS_1W6WA[/video]

I see!!....kweli hii ni AVCHD Format ya MTS
 
Mbona bado sana mkuu yaan tegemea mauza uza kibao kutoka kwa hawa jamaa!...Muda c mrefu utaskia kigezo cha usheikh awe na Mkanda mwekundu wa Karate!

Tunawakinga watoto wetu na ushoga! Hatutaki kuwafundisha kukata viuno kama mnavyowafundisha makanisani, tatizo liko wapi? Kila jamii ina value systems zake, kama ya kwenu ni kwaya, jamii nyingine haziko hivyo. Accept the differences of opinion!
 
Self Defence:
Hofu tu za kijinga, China, Japan hii ndio 'ibada' wanataka kupigana na wakristo wa wapi?
Kwa hiyo huku Tz mmeanza kuabudu Shinto na Budha badala ya Allah?
Wasaidieni watoto wasome badala ya kujifunza 'ugomvi'.
 
Gazeti la Mwananchi uk 7, leo kuna picha ikiwaonyesha wanafunzi wa Seminary ya Markaz wakicheza karti wakati wa Mahafali ya Form 4.
Kwa muda sasa imekuwa ikidaiwa kuna Misikiti kadhaa, Waumini hupatiwa mafunzo hayo baada ya swala za maghreb, madai hayo yamekuwa yakiambatana na madai kuwa hayo ni maandalizi kwa ajili ya siku itakapotokea vita kati ya Waislamu na Wakristo.
Najiuliza, mafunzo hayo ya kareti hadi Misikitini, yana nia gani?

Hivyo ndivyo hilo gazeti linavyosema au ni maneno yako tu mkuu?
 
Kwa hiyo huku Tz mmeanza kuabudu Shinto na Budha badala ya Allah?
Wasaidieni watoto wasome badala ya kujifunza 'ugomvi'.

Tatizo ni kwamba, wakristo wengi wanaamini siku zote kwamba wao wako perfect. Ndio maana ikitolewa thread yoyote inayohusu waislamu, hakuna hata mmoja ambaye atasupport, ila wote wataiponda na kuonesha kuwa ni kitu kisichofaa.

Lakini tabia hii kwa waislamu si ya kushangaza, tunalijua hilo kabla.

Kwa vile siku zote unaamini kuwa America ndio role model wenu, pitia hii site uone watoto wanavyofundishwa karate: Martial Arts America. Ukishaangalia, urudi tena na comment zako!
 
Kama kupinga matendo maovu ya kigaidi kama yale ya Boko Haram na Al qaeda ndio kuupinga Uislamu basi nihesabu mimi rasmi kama adui namba moja wa Uislamu.

Ufuasi wako wa Chadema ni itikadi yako, nothing to do with Religion, nani alikudanganya mimi ni Mwanachama wa Chadema? au unadhani kila anayeipinga CCM ni Chadema?

Ningekuwa na mawazo kama yako mimi ningekuwa MwanaCCM mwaminifu kwani it is clear kwamba CCM for Christian & Muslim for CCM. Hili wala halihitaji Degree kulifahamu.

Dini na Karate wapi na wapi?

alqaeda.jpg

Wewe haupingi ugaidi ungekua unapinga ugaidi usingekua unaandika unayoandika unless unaona ugaid ndo uislam.
Nimesoma comment zako kwa muda mrefu usidhani ya leo tu hilo lipo wazi,kama leo umeikana chadema basi umeonyesha wewe ni mtu wa aina gani sipendi kutumia lile jina lenu watu wa aina yako.
 
Kama hiyo kusema din na karate wap na wap?umetoa wap na unaongelea din gan kila mtu ana uhuru wa kuabudu,

Back
Top Bottom