Speaking of Ugolo, unanipeleka mbali kidogo. Professionally, kazi zangu ni za porini. I met a guy uko porini ilikua asipopiga io kitu, unaweza muona kama ni mstarabu.
Ikifika mida yake (alikua na mida yake ya cha bibi), anapiga mikelele, anapiga mastory mengi sana. Kuna mda tulikua tunamuomba...