Recent content by Humilis

  1. Humilis

    JamiiForums Tanzania USHAURI: ili Tanzania isonge mbele yafuatayo yafanyike halaka sana

    1. Toa takataka inayoitwa CCM
  2. Humilis

    JamiiForums Tanzania Rais hataniwi, Wakenya mwacheni mama yetu tumieni AI Kwa ajili ya baba yenu

    'Wewe ni mama yako? Mimi sio mama yangu...' - TAL.
  3. Humilis

    JamiiForums Tanzania Wapinzani hawa ambao sera yao kubwa ni kudandia kila jambo linalotokea wakiingia Ikulu naacha kazi

    Kazi ya kuwa chawa nayo ni kazi?
  4. Humilis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malengo Yako Ya 2026 ni yapi?

    Kuwa bora kuliko 2025.
  5. Humilis

    JamiiForums Tanzania Kwenye Kupindua Nchi, Ukishindwa Mara ya Kwanza, Ndiyo Mwisho, Usirudie

    Kama itapaswa kutokea itatokea tu,kwa kuwahi au kwa kuchelewa,itatokea.
  6. Humilis

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa mwana-CCM kama siyo mbinafsi

    Binadamu ni kiumbe kisichoeleweka,chenye utata,inaweza kuwa ubinafsi au nafuu ya binafsi au mbaya zaidi. Kitu cha uhakika ni kuwa 'wengi wao' hawako sawa kifikra,kimaadili na kimtazamo ni watu wenye dhamiri mfu.
  7. Humilis

    JamiiForums Tanzania Nafanyaje kumsaidia mdogo wangu kukabiliana na mabadiliko ya ukuaji wake kimwili?

    Mchanganye na watu wa rika lake pia aone ni kitu cha kawaida,ongea nae na wala msilikuze jambo kiasi cha yeye cha kukosa amani au kuona ni jambo kubwa kihivyo. Wakati nipo kwenye hiyo stage nilikuwa boarding school,na sikumbuki kuona kuwa ni jambo la ajabu kwa asilimia kubwa ya wanafunzi...
  8. Humilis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acheni kushika simu za wapenzi wenu, simu ni faragha ya mtu

    Kama mpo tayari kushare utupu,kwa nini simu ionekane ishu kubwa kiivyo?
  9. Humilis

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa raisi Cyril Ramaphosa mapumzikoni.

    Jamaa anafanana sana Chaba wa Hadzabe.
  10. Humilis

    JamiiForums Tanzania Japo ni muongo, ila Mwigulu hapa anasema ukweli

    "Adui yetu ni CCM & Samia".
  11. Humilis

    JamiiForums Tanzania Nitawaleteeni makala nzuri kuhusu ulaghai wa wazungu kwa walibya na majuto waliyonayo hii leo ili msije kunasa kwenye mtego uliowanasa Walibya

    Umejielezea wewe kabisa,hakuna mwenye akili timamu ambaye anaweza andika ujinga unaouandika humu JF.
  12. Humilis

    JamiiForums Tanzania Picha kubwa kwa kinachoendelea Tanzania

    Hayo tunaweza fanikisha tu kama tutakuwa na viongozi wenye kuwa na picha pana ya ustawi wa taifa hili,ambao wapo tayari kujitoa kwa maslahi mapana ya taifa hili,si kwa ajili ya watoto wao,si kwa ajili ya mashemeji zao,si kwa ajili ya kachama fulani tu,bali kwa ustawi wa kila aitwaye mtanzania...
  13. Humilis

    JamiiForums Tanzania Lema na Lissu kumbe walipewa hela na Samia wakiwa nje halafu hawana adabu wala ahsante!

    Ndipo tulipofikia,vilaza kama wewe,ndo wameshikilia madaraka ya nchi.
Back
Top Bottom