Recent content by HumbleBoy98

  1. HumbleBoy98

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Mr Khumbu upo??!😀
  2. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Yes, au wahasiwe tu. Unapasuliwa map*mbu na nyundo bila ganzi! 😕
  3. HumbleBoy98

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Hizi porn zinatuangamiza 🙆🏾‍♂️
  4. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kushikilia msimamo wangu bila kuwakwaza wazazi?!

    Asante sana mkuu kwa mchango wako, uzuri tulishayamaliza na tukakubaliana hivi hivi kama ulivyoshauri. Sema ndio hivyo sasahivi kozi yenyewe imesitishwa na hatuoni dalili zote kuwa itaanza upya lini
  5. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Ifanye forex kuwa biashara yakukuingizia kipato kidogo kila siku

    Nafanya Nini kama nataka kujifunza forex from scratch? Yani Sina ninachokijua hata kimoja kuhusu forex lakini nimevutiwa nayo na nataka kuijua? Au ni materials Gani naweza soma?
  6. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Mjue nyoka mwenye sumu kali Barani Afrika

    Na hii nyingine eti ukisikia harufu ya pilau basi ujue ni chatu amejivua gamba lake!
  7. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Mjue nyoka mwenye sumu kali Barani Afrika

    Mbona Kuna binadamu tu tunapepea mpaka 38km/h! Sasa hiyo 16 si ndogo sana?!
  8. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Mwanza kutamu asikwambie mtu

    Mwanza is my dream city! Nina ndoto ya kuhamia kabisa niwe naishi huko!
  9. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Mwanza kutamu asikwambie mtu

    Ndo Mara yangu ya kwanza kuona umetoa comment ndefu hivi!
  10. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

    Duh! Wanavifanyia nini Hivyo vidole??!!
  11. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Gamers: what game are you playing right now?

    Dah! Hii hata Mimi naipenda sana! Sema Mimi Nina Ile 'Euro truck simulator 2' wewe una version ipi mkuu? Na Hiyo Bus simulator ndo naipataje nikiitaka? Maana Niko na laptop.
  12. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Tujuzane bata la nje na ndani ya nchi

    Ila Kuna watu mnaishi bwana! Afu Kuna akina sie tunaopumua tu!
  13. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Gamers: what game are you playing right now?

    Napenda sana need for speed most wanted!
  14. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kushikilia msimamo wangu bila kuwakwaza wazazi?!

    Pole sana mkuu. Lakini Bado una nafasi ya kufanya kile unahitaji
  15. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kushikilia msimamo wangu bila kuwakwaza wazazi?!

    Issue ni kurudi Tena chuo miaka mingine mitatu kitu ambacho siko tayari kufanya.
Back
Top Bottom