Recent content by HUMANIST

  1. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Dini zenye wafuasi wengi Duniani

    At least they are more realistic!
  2. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Dini zenye wafuasi wengi Duniani

    So kabla ya maandishi hayajanguliwa dini hazikuwepo?
  3. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Miaka elfu saba ijayo, atheism itakuwa ndio dini kuu duniani. sababu zipo hapa chini

    IT’S 2061. EARTH’S SURFACE IS FROZEN SOLID. TO ESCAPE AN expanding Sun, the planet has gone walkabout. It no longer rotates because thousands of fusion-powered engines on one side of Earth propel it across our solar system. The further from the Sun it travels, the colder it gets. Half the...
  4. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Miaka elfu saba ijayo, atheism itakuwa ndio dini kuu duniani. sababu zipo hapa chini

    Iko hivi. Unaposema A belief—maana yake inaoffer vitu fulani. Nikirejea Uislam na Ukristo, I'm sure unanielewa what those two sets of beliefs offer. Sasa ukisema kuwa Dunia nzima itakuwa inaamini kwenye Atheism; maana yake inarudi kwenye msingi wa DINI—CONVINCTIONS. Ilihali, Atheist yeye...
  5. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Miaka elfu saba ijayo, atheism itakuwa ndio dini kuu duniani. sababu zipo hapa chini

    Again sio mtindo wa maisha ( as it is not as set of belief). Ukishaamini au ukishakuwa na mtindo wa maisha, basi hiyo ni DINI. ATHEISM NI KUTOTAMBUA UWEPO WA MUNGU SABABU HAIJATHIBITIKA UWEPO WAKE. UKISHAAMINI KUTOKUWEPO KWA MUNGU, Hauna tofauti na ANAYEEMINI UWEPO WA MUNGU. SO atheist is not a...
  6. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Mbunge, je sheria zinatungwa na Bunge au Serikali?

    National Assembly Vs Parliament!
  7. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Kipi chanzo hasa cha Chuki na kuuliwa kwa Wayahudi Ulaya?

    Sasa kama ni hivi, kwanini leo wazungu 'hawawachukii' tena?
  8. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Kipi chanzo hasa cha Chuki na kuuliwa kwa Wayahudi Ulaya?

    Lakini, Waajemi waliwachukia hawa kabla hata ya Hitler!?🤔
  9. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Kipi chanzo hasa cha Chuki na kuuliwa kwa Wayahudi Ulaya?

    Leta maarifa Dr, nafurahi uwepo wako hapa.
  10. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Hakuna nadharia yoyote ya Kisayansi inayoelezea kikamilifu chanzo cha ulimwengu

    Sasa Mkuu kujua si kunaanza na kutokujua kwanza?
  11. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Hakuna nadharia yoyote ya Kisayansi inayoelezea kikamilifu chanzo cha ulimwengu

    SIJUI. As we all DON'T KNOW, FOR NOW.
  12. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Hakuna nadharia yoyote ya Kisayansi inayoelezea kikamilifu chanzo cha ulimwengu

    Kama haina chanzo, how did it came to be?
  13. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Kipi chanzo hasa cha Chuki na kuuliwa kwa Wayahudi Ulaya?

    Salaam wana jukwaa! Sina haja ya kueleza kwa kina yaliyowakuta wayahudi, lakini Vitabu vya historia—vya kisekula na kidini—vinaeleza wayahudi walifukuzwa na kuuawa maeneo mengi ya Asia na ulaya, mfano Uajemi, Uyunani, Roma, Hispania, Ufaransa, Urusi, Italia na hatimaye Ujerumani. Nini...
  14. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Hakuna nadharia yoyote ya Kisayansi inayoelezea kikamilifu chanzo cha ulimwengu

    Ni kweli kabisa usemayo and that's what called speculative science. Lakini ulishajiuliza kwanini imekuwa ngumu sana kupata jibu la chanzo cha Ulimwengu huu? Mambo mengine nadhani yanapaswa kuwa fumbo, ili salama iendelee kuwepo. Hebu fikiria siku ambayo ikapatikana hakika ya chimbuko hilo...
  15. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Meli ya Israel yatekwa Yemen

    But the fact remain the same that he was a terrorist! Pia acha upumbavu wa stereotypes za kidini, unakufanya uonekane uko mpumbavu kiasi gani.—Unadhani kila mtu ni mdini hapa Jukwaani.
Back
Top Bottom