Ni saaawa ila yeye kama yeye atafanya nini kama wabunge wengine Mia 3 na kitu wamekaa kimya. Angekua kiongozi wa juu asingeruhusu hili. Hana mamllaka yoyote ya kuamua.
Waadau nadhani majibu umeyaona.. na labda nichangie hili, maamuzi ya kuipa richmond tender hiyo yalitoka kwa namba moja. Na hata nilishawahi ona picha wakati karamagi ana sign mkataba wa dowans uingereza if not mistaken. JK was on that pic standin behind karamagi. Sasa kama lowassa alimuuliza...
Mi naona wote hamko sahihi na mengi sana hapahapa hayajasemwa. Lowassa kwenye sakata la richmond yuko safi. Aliefanyaa kosa kuu ni mwanasheria wa serikali pamoja na rais mwenyewe. Lowassa aliandika barua kwa mwanasheria wa serikali kuwa ana mashaka na hii kampuni ya richmond lakini mwanasheria...
Mi naona wote hamko sahihi na mengi sana hapahapa hayajasemwa. Lowassa kwenye sakata la richmond yuko safi. Aliefanyaa kosa kuu ni mwanasheria wa serikali pamoja na rais mwenyewe. Lowassa aliandika barua kwa mwanasheria wa serikali kuwa ana mashaka na hii kampuni ya richmond lakini mwanasheria...
Huyo akipitishwa na ccm. Mi narudisha kadi ya chama na ntapigia upinzani. Lowassa ndie tunamtaka na ndo chagua la wananchi wanaotaka maendeleo na nchi yao. And not otherwise. Na ccm sasa itatudhihirishia kuwa imeoza mpaka kupindisha sheria zao wenyewe. Maana I know judge agustino hajatumia chama...
Ndo maana tunasema bora ccm iendelee tu maana hawa ukawa ni full njaa wanaangalia matumbo yao tu. Wangekuwa kweli wazalendo na watetea haki za watanzania hili wangelivalia njuga.
VUTA-NKUVUTE
Hivi wewe ulieandika hii umefatilia huko monduli unakokusema!??????
Monduli kuna lami!monduli kuna hospitali kubwa na ya kisasa kuliko miji mingi hapa Tanzania. Monduli kuna maji safi ya kunywa kuliko hata dar, monduli mji umejengeka kimpangilio. Mji una better sewage system nzuri...
Kwanza huyo jugde hana sifa sijui kwanini anachukua fomu. Pili huyu ridhiwani asidhani hii ni nchi ya kifalme. Harisishwi mtu madaraka hapa. Yeye na huyo CJ wakale malimao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.